Aston Villa yamfukuza kazi Steven Gerrard

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Uamuzi huo umechukuliwa baada ya kupata kipigo cha magoli 3-0 dhidi ya Fulham katika mchezo wa Premier League.

Villa imeshinda mechi 2 za EPL kati ya 11 msimu huu, pia ni kati ya timu nne za mwisho kwenye msimamo wa ligi hiyo.

Gerrard alipewa mikoba ya Dean Smith, Novemba 2021 ameshinda mechi 13 kati ya 40 alizoongoza akiwa kocha. Wanaotajwa kupewa nafasi yake ni Mauricio Pochettino au Thomas Tuchel.

------------

Steven Gerrard is SACKED by Aston Villa after dismal 3-0 defeat at Fulham saw fans turn on him - with owners prepared to go all out to land an elite coach like Mauricio Pochettino or Thomas Tuchel

Steven Gerrard has been sacked by Aston Villa with a brutal 41-word statement after his side's humiliating 3-0 defeat at Fulham.

The former England captain has been dismissed just 11 months after succeeding Dean Smith at Villa Park, and Villa have targeted former Tottenham boss Mauricio Pochettino, with conversations thought to have been held between intermediaries.

Villa's next game is at home to Brentford on Sunday and at this stage it is unclear who will take charge, though Villa may choose to turn to former player Gary McAllister, who was part of Gerrard's coaching staff.

Supporters had long since turned against Gerrard and berated him during the humbling at Craven Cottage, in full view of members of the Villa hierarchy who were in the directors' box.

The message on the club's website was terse. It read: 'Aston Villa Football Club can confirm that Head Coach Steven Gerrard has left the club with immediate effect.

A club spokesman said: 'We would like to thank Steven for his hard work and commitment and wish him well for the future.'

Gerrard signed a three-and-a-half-year deal worth about £5.5million per season but despite winning four of his first six matches, it was a dreadful 2022, in which Villa took only 32 points from 31 matches.

They had a net transfer spend of £52m in the summer but are above the relegation zone on goal difference alone – hardly what billionaire owners Nassef Sawiris and Wes Edens were thinking of when Sawiris said the 'sky is the limit' for Villa three years ago.

Source: DailyMail
 
Makocha wanafukuzwa hovyo HOVYO.

Nadhani KULIKUWA na haha ya kuangalia utaratibu wa Makocha kuajiliwa na kuvunjiwa mikataba.

Fifa walaingalie hili
 
Makocha wanafukuzwa hovyo HOVYO.

Nadhani KULIKUWA na haha ya kuangalia utaratibu wa Makocha kuajiliwa na kuvunjiwa mikataba.

Fifa walaingalie hili
Bahati nzuri kabla ya kuanza kazi ya ukocha, huwa kuna makubaliano ya pande mbili, na ambayo huwekwa kwenye mkataba wa maandishi.

Hivyo mtu hafukuzwi kienyeji tu. Kuna fidia analipwa. Lakini pia usisahau ule msemo usemao coaches are hired to be fired. Hivyo wenyewe wanaona ni sehemu tu ya maisha yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom