Assistant Accountants - Required !

Endaku's

JF-Expert Member
May 25, 2007
321
47
Hellow wanajamii , kuna kampuni moja ya kigeni inahitaji wahasibu wasaidizi , mimi hapa ni muhasibu na tunahitaji watu junior - please sitaki kudisclose email ya ofisi hapa soo anayehita atume CV email albertkei@rocketmail.com urgently please !
 
haya kaka tupigie dau huko uliko maana huku hali si shwari.....
we tuite kenye interviwe hizo certficates tunazoattach zisikushtue maana kwa maisha yalivyo tunaangalia mshiko na siyo title.
 
Guys we need assistant accountant , for those with higher qualifications this offer will be too low for you , please i cant take you through cause what we need is junior person ! Maximum qualification we need is a bachelor and minimum is Diploma !

Iam sorry !
 
weka eamil za kazini, kama hujui andika CV usitake udese za watu...toa na more details
 
weka eamil za kazini, kama hujui andika cv usitake udese za watu...toa na more details

pole na kazi kaka , cv ni za kukopi kwa watu kweli jamani , kwenye net zimejaa kibao sidhani kama niko hapa kufanya utani na watu ,ndio maana nikasema ni junior position ,niliona vyema kushirikisha wanajamii ,na mbali na hivyo walioleta cv watathibitisha hapa ! Kama wameitwa kwa interview pole saana mkuu , naona umekaa kimajungu majungu tuu , njoo nikupe kazi !!!!
 
mkuu tupatie sifa zinazohitajika kwanza, ndio tujipime kwanza kuwa tuna fiti au laa? Tupatemaamuzi ya kutuma CV zetu.
 
Junior Position duties
-Prepare payments ,recons for payment and cheque writtings
-Petty cash
-Bank Reconciliation
-Data Entry in SAP - if you dont know the System we will provide internal training
-Others - like filling System of the documents etc
-Payroll knowledge or we can take un through as well

So i believe with these duties a CPA is overqualified and not motivating , basically anybody with diploma to degree in Accounting !
 
Mmh siku njema yaanzia asubuhi, kwa hii job description iliyopinda pinda please be very very careful.
 
kampuni gani hutaki kuitaja ni ya madawa ya kulevya nini ...............wahasibu wadogo hawapatikani pandisha dau waje wakubwa
 
Mmh siku njema yaanzia asubuhi, kwa hii job description iliyopinda pinda please be very very careful.

Thansk Mkuu , nisaidie hiyo Job Des maana nilichotoa ni highlight ya duties for the post sijui kama sawa Job Des
 
kampuni gani hutaki kuitaja ni ya madawa ya kulevya nini ...............wahasibu wadogo hawapatikani pandisha dau waje wakubwa

Pole Mkuu , wameshapatikana na walikuja wanajua ni kampuni gani ! Sijui watu wakoje nilazima uchangie tuu hata kama pumba ?
 
Any way guys iam done , nimeshapata watu 40 na nimechagua 10 nafasi 2 tuu wahusika watapigiwa simu !!!
 
Pole Mkuu , wameshapatikana na walikuja wanajua ni kampuni gani ! Sijui watu wakoje nilazima uchangie tuu hata kama pumba ?
hiyo ni kampuni ya hajabu ambayo haitakiwi kutajwa .........ok lakini kazi njema ..............ila ukihitaji ushauri katika finance au acc usisite mimi bado nahitaji kufanya shughuli binafsi sio kuajiriwa........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom