Askofu Muuza Unga Alivyodakwa

mimi ningekuwa president mngeniloma. Maanake mgenichukia kwa miaka ishirini na kunipenda mpaka nchi inafutika na kujegewa statute kama maraisi wa USA. Ni kuwapeleka puta kama gadafi mpaka mkome. Yaani jambo la kusolve kwa dakika linakuwa story, hii ni sawa na kumwambia mzazi unanuka kikwapa hujaoga.

Bakwata na Kanisa la Romana vimeingiaje kwenye habari hii?yaelekea muandishi ana ajenda yake,kwanza waliokamatwa ni wanigeria na Wapakistan waliounda kanisa na kulisajili ili lifiche maovu yake,kila mtu anaweza kuunda kanais akajiita nabii,mtume etc mfano yule Yesu wa Chanji huko Sumbawanga,ukimkamata na madawa utasema ni kiongozi wa dini,unaweza kukuta huyo anayejiita Kiongozi wa didi kanisa lake lina waumini 10,then kiongozi mkubwa wa nchi unasimama na kusema viongozi wa dini wanafanya biashara ya Madawa.....

Kweli sio siri mie mkiristo lakini kauli ya Pengo ilinisikitisha sana, hata kama kiongozi wa nchi humpendi huyo ndo kiongozi wa nchi kwa sasa na vyombo vyote vya usalama vinaripoti kwake na inawezekana kabisa ndo mtu pekee nchini ambaye yuko well informed katika maswala yote kuliko yeyote mwingine.

Viongozi wa dini wanatakiwa kujua wao ni viongozi wa sehemu tu ya watanzania lakini mwenzao ni kiongozi wa watanzania wote including wao kwa mujibu wa katiba ya Tanzania.

kwani pengo kasema uongo? kwanini baba riz acweke mambo adharani kwani anamwogopa nani kama yeye ni kiongozi wa watz wote including viongozi wa dini.

Fadha mbona unachanganya taarifa..issue iliyopo mezani ni viongozi wa dini kupatikana ushahidi kwamba kwa namna moja ama nyingine wamekua wakijihusisha na biashara ya mihadarati,hapa ni baadhi ya viongozi wa dini zote wanatuhumiwa isipokua ushahidi umepatikana kwanza kwa hao wachungaji wa kilokole...sasa ya huyo muarabu wa saudia arabia yanatokea wapi?issue hapa serikali imefanya kazi yake ipongezwe

Anataka ku2onyesha kua anajua history, kama hajaandika akiwa amelewa.

Kweli sio siri mie mkiristo lakini kauli ya Pengo ilinisikitisha sana, hata kama kiongozi wa nchi humpendi huyo ndo kiongozi wa nchi kwa sasa na vyombo vyote vya usalama vinaripoti kwake na inawezekana kabisa ndo mtu pekee nchini ambaye yuko well informed katika maswala yote kuliko yeyote mwingine.

Viongozi wa dini wanatakiwa kujua wao ni viongozi wa sehemu tu ya watanzania lakini mwenzao ni kiongozi wa watanzania wote including wao kwa mujibu wa katiba ya Tanzania.

serikali haina dini, jk awataje tu .

wapi ulisikia kiongozi wa kiislamu kuitwa mtakatifu , AU KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU

WAKRISTO MNAITANA WATAKATIFU NA KUJIFANYA MNAONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU KUMBE KWENYE MAJOHO KUMEFICHWA VIROBA VYA

UNGA KAZI KWELI

KAZI KWELI , JANJA ZENU ZIMEKWISHA

Muhammad hakuwa mtakatifu bali alikuwa MTAKAVITU KWA KUPORA NA KUUA, aitweje ? nawe wamuona ndiye mbora kati ya binadam wote chini ya jua. Kweli Kichaa ni taaluma na wewe umehitimu haswaaa...

yule mungu wako alisha teremka pale mtini ?

Muhammad hakuwa mtakatifu bali alikuwa MTAKAVITU KWA KUPORA NA KUUA, aitweje ? nawe wamuona ndiye mbora kati ya binadam wote chini ya jua. Kweli Kichaa ni taaluma na wewe umehitimu haswaaa...
Utakatifu hauji kwa kujiita mtakatifu,utakatifu unakuja wenyewe.Mtume Muhammad kwa kipindi kifupi tu,dunia nzima inamkubali,na inaendelea kumkubali,mafundisho yake yanaingia akilini.Hakupenda makuu,alikuwa akiishi maisha ya kawaida.

ilikuwaje akabaka kitoto cha miaka 9? halafu cjui kama unajua uislam haukuenezwa kwa kushawish watu wao wameeneza din kwa fujo kwa kulazimisha, na ndio maana hawez kucmama jukwaan muislam yeyote akawa anahubir bila kuutaja ukristo au biblia. eti Mungu wao kawapa ruksa kuwaua makafiri ili awape mabikra sabini, lakin Mungu huyohuyo anajua alipo Shetan hatak kwenda kumwua. huwez kueneza din kwa upanga halafu ukategemea kuish kwa aman. yaan haina tofauti na wale waliomtoa Gadafi kwa fujo c unaona mpaka leo hakuja tulia. kingine wanachonishangaza unakuta wanakazana na kusoma elimu ahera lakn wanataka waitumie katika maisha yakawaida humu dunian. kila ilipopita hii din imesababisha chuki ugomvi umasikin na hali ya kukata tamaa. tanzania walifika miaka mia nane lakn angalia walikopita wanackitisha.

Ni kweli utakatifu hauji kwa kujiita, UTAKATIFU HULETWA NA MATENDO katika maisha na watu...Kipindi kifupi dunia imemkubali ? dunia kwako ni ipi, kipindi kifupi ni kipi, Muhammad anakubalika na watu wasiojua ukweli, wewe na Uislam wako hujawahi kufundishwa ama kusoma kwamba Muhammad alikazini katoto ka miaka 9, Muhammad kwa uroho wa warembo alimuoa mkwewe, Muhammad kwa ukatili alimzini mwanamke baada ya kuwa amewaua mume na jamaa zake ndani ya masaa mawili, Muhammad huyo huyo alikuwa anaongoza uporaji wa wafanyabiashara kwenye misafara. Nani atakufundisha yote hayo ? Shukuru JF angalau unayapata, bei za Hadith sahihi ambazo angalau ungekuwa unasoma bei ni 300000+ bei kubwa ili msijue yaliyomo dani. Hamsituki mmeng'ang'ana BEST DECEIVER kawabana kweli kweli. Hakupenda makuu,alikuwa akiishi maisha ya kawaida? HAKIKA KICHAA NI TAALUMA NAWE UMEFUDHUUU....

Duh, tokea nianze kusikia kukamatwa wauza madawa ya kulevya sijasikia kufungwa jela hapa nchini. Naomba kama mtu kaisha sikia amwagike hapa kwani pana Watanzania wamefungwa jela nchi za nje na ni wengi tu au pana jela zao ambapo hapa kwetu hazijajengwa?

ilikuwaje akabaka kitoto cha miaka 9? halafu cjui kama unajua uislam haukuenezwa kwa kushawish watu wao wameeneza din kwa fujo kwa kulazimisha, na ndio maana hawez kucmama jukwaan muislam yeyote akawa anahubir bila kuutaja ukristo au biblia. eti Mungu wao kawapa ruksa kuwaua makafiri ili awape mabikra sabini, lakin Mungu huyohuyo anajua alipo Shetan hatak kwenda kumwua. huwez kueneza din kwa upanga halafu ukategemea kuish kwa aman. yaan haina tofauti na wale waliomtoa Gadafi kwa fujo c unaona mpaka leo hakuja tulia. kingine wanachonishangaza unakuta wanakazana na kusoma elimu ahera lakn wanataka waitumie katika maisha yakawaida humu dunian. kila ilipopita hii din imesababisha chuki ugomvi umasikin na hali ya kukata tamaa. tanzania walifika miaka mia nane lakn angalia walikopita wanackitisha.

Ilikuwaje mungu wenu alifikishwa mahakamani na kuhukumiwa adhabu ya kudhalilisha, aliua..?...alibaka..?..au ugaidi..?

Back
Top Bottom