Askofu Mkuu wa Anglikana asema vyombo vya dola vinapendelea chama kimoja na vinahatarisha amani

Lakini Askofu awaambie basi wafanye siasa za kuhamasisha maendeleo. Nchi iko nyuma sana na vijana wanashinda kwenye pool na vijiweni. Siku moja kijana moja wa kijiweni huko kijijini aliniomba shs 500. Ilikua saa 3 asubuhi. Nikamwambia anionyeshe nyumbani akanipeleka. Nilikuta wana shamba la mgomba na kahawa zaidi ya eka 3 lakini limekua magugu. Ukiangalia kijana huyu alishajijengea tabia ya kuamka na kwenda kijiweni. Angalau angeanzia kuhudumia lile shamba kwanza. Ndizi tu sasa hivi bei mpaka elfu 15shs. Sasa tukikubaliana na siasa za maandamano na kuwapandikizia hawa vijana mbegu chafu tutawaharibu na milele umasikini utakita.
mkuu thread umeielewa kweli?
au ndio kutoshughulisha kichwa!
 
Bakwata wanangojea semina ya pamoja ya dini zote ndio watoe tamko la kupinga kauli hiyo ya Askofu kuwa ya kichochezi na kuunga mkono polisi kwa hatua wanazo ziuchukua kuhakikisha amani inapatikana kwa gharama yoyote ile.
HHHHHHHHAAAAAAA
 
Mkuu wa kani la Anglikana Tanzania Dk. Jacob Chimedelya amevionya vyombo vya dola nchini kuacha kutumika vibaya kulinda chama kimoja cha siasa.

Amesema suala hilo lisipoangaliwa linaweza kusababisaha machafuko, chuki na kuhatarisha amani nchini

Alisema kama vyombo vya dola vinatoa vitatoa upendeleo wa chama kimoja cha siasa kuna uwezekano mkubwa wa kusababisha uhasama kati ya chama na chama na makundi mengine ndani ya jamii

''Sisi viongozi wa kanisa tunapaswa kuhimiza vyama visitumie vyombo vya dola vibaya kwani hali hii ikiendelea inaweza kusababisaha uhasama kati ya chama na chama, hivyo tunaitaka Serikali kusimamia haki na usawa bila kujali chama, rangi au kabila la mtu''
anaweza kuwa ametamka exactly hivi au labda amekuwa misquoted - lakini namjua huyu Baba Askofu si mnafiki, ni mweledi, ni mwadilifu sana, anajiamini na ana hofu ya Mungu kweli kweli.

kama kuna chama chochote kinatumia vyombo vya dola vibaya kama ilivyoripotiwa, then yeah, lazima Baba Askofu atasema kwani hilo ni chukizo kubwa kwa Mungu na yeye ana hofu ya Mungu (nasisitiza kwelikweli!).
 
Lakini Askofu awaambie basi wafanye siasa za kuhamasisha maendeleo. Nchi iko nyuma sana na vijana wanashinda kwenye pool na vijiweni. Siku moja kijana moja wa kijiweni huko kijijini aliniomba shs 500. Ilikua saa 3 asubuhi. Nikamwambia anionyeshe nyumbani akanipeleka. Nilikuta wana shamba la mgomba na kahawa zaidi ya eka 3 lakini limekua magugu. Ukiangalia kijana huyu alishajijengea tabia ya kuamka na kwenda kijiweni. Angalau angeanzia kuhudumia lile shamba kwanza. Ndizi tu sasa hivi bei mpaka elfu 15shs. Sasa tukikubaliana na siasa za maandamano na kuwapandikizia hawa vijana mbegu chafu tutawaharibu na milele umasikini utakita.
Nchi ilipata Uhuru 1961,vyama vingi vilianza 1992,je zaidi ya miaka 31 bila kufanya siasa tulipiga hatua gani kimaendeleo?Je siasa inafanyika muda gani?Je utafanya kazi masaa 12 bila kupunzika?Wananchi wafanye kazi lakini pia wanasiasa wafanye kazi yao,kama una kazi ya kufanya hulazimishwi kusikiliza wanayoyasema wanasiasa.
Anayewakataza wanasiasa kusema kuna uovu anauficha usisemwa hadharani!!!!!!
 
Tumia kichwa chako vizuri ili hata siku nyingine ukitunga 'hadithi' ya kuombwa shs 500 kijijini iwe na mvuto.

Maandamano huletwa na madai ya haki. Hakuna mtu anayeandamana bila kudhulumiwa jambo. Mbegu CHAFU ni tabia ya watu kupoka haki ya watu wengine. Vijana kukaa vijiweni wameanza tangu enzi za chama kimoja. Halafu nikusaidie kufikiri...vijiwe ni dalili ya serikali kushindwa kuwaweka pamoja vijana kwa tija.

Kuzuia mikutano ya upande mmoja huku mwingine unafanya hakutaondoa vijana vijiweni, kutaleta machafuko. HAKI ndio msingi wa amani. Tuache unafiki
 
Katiba inasemaje kuhusu hilo? Waliapa kuilinda, kuitetea na kuitekeleza kwa nguvu zote.
 
Nani anajali Anglikana TZ hii?
hivi huwa unapost nini?mbona kwenye katecno kangu sioni kitu?
Lakini Askofu awaambie basi wafanye siasa za kuhamasisha maendeleo. Nchi iko nyuma sana na vijana wanashinda kwenye pool na vijiweni. Siku moja kijana moja wa kijiweni huko kijijini aliniomba shs 500. Ilikua saa 3 asubuhi. Nikamwambia anionyeshe nyumbani akanipeleka. Nilikuta wana shamba la mgomba na kahawa zaidi ya eka 3 lakini limekua magugu. Ukiangalia kijana huyu alishajijengea tabia ya kuamka na kwenda kijiweni. Angalau angeanzia kuhudumia lile shamba kwanza. Ndizi tu sasa hivi bei mpaka elfu 15shs. Sasa tukikubaliana na siasa za maandamano na kuwapandikizia hawa vijana mbegu chafu tutawaharibu na milele umasikini utakita.
mkuu,nakushukuru kwa moyo wako mkunjufu!ila ulipata nafasi ya kumwambia pia kuwa tangu toka uhuru tumetawalia na TANU,halafu CCM,Na Kwamba hawa ndio wakulaumiwa kwa nchi kurudi nyuma?
 
Tumia kichwa chako vizuri ili hata siku nyingine ukitunga 'hadithi' ya kuombwa shs 500 kijijini iwe na mvuto.

Maandamano huletwa na madai ya haki. Hakuna mtu anayeandamana bila kudhulumiwa jambo. Mbegu CHAFU ni tabia ya watu kupoka haki ya watu wengine. Vijana kukaa vijiweni wameanza tangu enzi za chama kimoja. Halafu nikusaidie kufikiri...vijiwe ni dalili ya serikali kushindwa kuwaweka pamoja vijana kwa tija.

Kuzuia mikutano ya upande mmoja huku mwingine unafanya hakutaondoa vijana vijiweni, kutaleta machafuko. HAKI ndio msingi wa amani. Tuache unafiki
Nimekuambia nyumbani kwa huyo kijana wana ardhi iliyo na mazao ila haipatiwi huduma. Ungekua unafikiri vema ungekubaliana na mimi kwamba asilimia kubwa ya vijana wana cha kufanya huko walikotoka na kinachotakiwa sasa ni mtu wa kuwachapa viboko wakafanye kazi kama wazazi wao wameshindwa. SAWA?
 
kwanza huo kijana yupo ktk jimbo lipi la uchaguzi?
 
Nchi ilipata Uhuru 1961,vyama vingi vilianza 1992,je zaidi ya miaka 31 bila kufanya siasa tulipiga hatua gani kimaendeleo?Je siasa inafanyika muda gani?Je utafanya kazi masaa 12 bila kupunzika?Wananchi wafanye kazi lakini pia wanasiasa wafanye kazi yao,kama una kazi ya kufanya hulazimishwi kusikiliza wanayoyasema wanasiasa.
Anayewakataza wanasiasa kusema kuna uovu anauficha usisemwa hadharani!!!!!!
umedadavu vizuri sana,ila wasiwasi wangu ni kuwa sidhani kama atakujibu tena!
 
Wahusika wameweka pamba maskioni wanasikiliza nyimbo za Captain Komba
 
Back
Top Bottom