Askofu Gwajima kaufyata?

Tatizo lao sio kwamba Gwajima Askofu kashindwa! Wanataka aendelee kuongea ili waendeleze propaganda za gang! Gwajima alishashinda kila mtu mwenye akili anajua ila wanalotaka aendelee kuongea ili waanze mambo ya Sukumagang,au pushgang!
Kama mtemi Hangaya mwenyewe wananchi walimwambia hatuchanjwi mble ya Gwajima,halafu kiumbe asiyejulikana anakuja na Uzi huu, nakubaliana na wazo lako,kumbe Kuna kingine zaidi wanataka.
 
na alisemà doroth gwajima na mollel wasipojiuzuru atazidi kuwafyatua hatanyamaza, sasa tunashangaa mbn kanyamaza na wao bado wanadunda
Hana ubavu wa kuikosoa serikali maana yeye mwenyewe siyo msafi
 
Kazi ya kuwakumbusha na kuwasemea watanzania ameifanya kwa uaminifu mwenye macho ameona mwenye masikio kasikia corona ni hadaa. Ni busara kulinda stara yake
 
Kuna Wakati alidai atakuwa meeting na watengeneza vaccine wa pfizer na Astrazeneca na Kila kitu watakacho zungumza ataiweka wazi.
Itakua kikao haijaisha, tuvute subra atakuja tu.
 
Kazi ya kuwakumbusha na kuwasemea watanzania ameifanya kwa uaminifu mwenye macho ameona mwenye masikio kasikia corona ni hadaa. Ni busara kulinda stara yake
Mtu mwenyewe hana busara atawezaje kuwashauri watu mambo yenye busara?
 
Mambo yanakwenda kwaa Kasi Sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona.

Kabla ya japo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo was Corona na jitihada zote zilizokuea zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Munhu alilimaakiza au atalimaliza bila Sayansi.

Cha ajabu baada ya kibano alichope2a na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelehea au kalegezwa.

Tulitegemea gata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse.

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO.

Askofu Gwajima upo!?
ALIKUMBUSHWA FADHILA ALIZOPEWA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mambo yanakwenda kwaa Kasi Sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona.

Kabla ya japo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo was Corona na jitihada zote zilizokuea zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Munhu alilimaakiza au atalimaliza bila Sayansi.

Cha ajabu baada ya kibano alichope2a na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelehea au kalegezwa.

Tulitegemea gata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse.

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO.

Askofu Gwajima upo!?
Askofu wa wajinga tu huyo.
 
Unapenda uchonganishi.....
kwenye jamii yoyote wachonganishi hawakosekani
kama huyu
watu kama hawa hawapendagi kuona mambo yametulia lazima wachokonoe chokonoe ndio furaha yao
Mkuu ndio babako was kiroho au 😅😅😅
Tulizoea kumsikia akibwata ...Sasa kaufytaa nywaaa
 
Kuna Wakati alidai atakuwa meeting na watengeneza vaccine wa pfizer na Astrazeneca na Kila kitu watakacho zungumza ataiweka wazi.
Itakua kikao haijaisha, tuvute subra atakuja tu.
Hata mpiga deki wa huyo mtengeneza Pfizer na Astrazeneca hana ubavu wa kukutana naye!
 
Mambo yanakwenda kwa Kasi Sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona.

Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo wa Corona na jitihada zote zilizokuwa zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Mungu alilimalia au atalimaliza bila Sayansi.

Cha ajabu baada ya kibano alichopewa na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelegea au kalegezwa.

Tulitegemea hata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse.

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO.

Askofu Gwajima upo!?
Kaufyata si kidogo ati...!!!!
 
Back
Top Bottom