Bachelor kwa bongo inatosha kabisa vinginevyo unatafuta kuchanganyikiwa.Wajanja walipoanza kuinajisi Masters na Ph.D nikaona hamna haja ya kwenda kusoma tena, nikabaki na ka Bachelor kangu ingawa na huko ni utapeli mtupu.
Maisha sio vyeti inategemea unataka kuwa nani maisha,maisha ni elimu nyingine kabisa ila ili upate balance ni vizuri upate elimu tatu ya dini,ya darasani na ya mitaani( inaitwa elimu halisi kupitia matatizo, shida,na uzoefu mbali mbali).Bachelor kwa bongo inatosha kabisa vinginevyo unatafuta kuchanganyikiwa.
Inategemea unataka kufanya nini? kama unataka kuwa mtumishi wa umma lazima usome sana ili masilahi yako yawe mazuri, kwa sisi wa kitaa tunapata elimu huku huku.Maisha sio vyeti inategemea unataka kuwa nani maisha,maisha ni elimu nyingine kabisa ila ili upate balance ni vizuri upate elimu tatu ya dini,ya darasani na ya mitaani( inaitwa elimu halisi kupitia matatizo, shida,na uzoefu mbali mbali).
We jamaa utakua umerogwa sio bure... Eti ramadhan salumu wakat hujui ata mahakama ya kadhi ni nini?wenzetu wanafanya vitu vinavyoonekana, sisi tumekazania kufanya mambo ya aibu aibu tu.. !!tunang'ang'ania mambo ya kipuuzi yasiyutupatia ugali.. Hongereni kwa kweli.. mahakama ya Kadhi italeta nini!!!??.. badala ya kujikita kwenye elimu, Utunzi wa vitabu, tunang'ang'ania mambo ya aibu.. ai inatia Khisiran sana..
Kuna rafiki yangu mmoja ana phd of bilhaziasLeo majira ya saa kumi jioni maeneo ya ubungo katika ukumbi wa Blue Pearl..askofu Josephat Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima, ametunukiwa nishani ya "Doctor of philosopy in Theology...PhD", ambayo amekuwa akiisomea kupitia chuo cha Omega Global University chenye makao makuu yake South Africa...nilishuhudia leo umati wa wakazi wa DSM wakielekea na kutoka pale blue pearl Hotel ubungo plaza..
shikamoo.. Bishop,Dr. J.Gwajima.:smile-big:
Issue ya BASHITE imefanya taifa hili lisiwe na haja ya vyeti tena. Na tusiwasikie mkitajataja watumishi sijui wahakikiwe sijui wapeleke vyeti Mara tatutatu, kuanzia sasa feki zote ni halali maana maisha siyo vyeti.Maisha sio vyeti inategemea unataka kuwa nani maisha,maisha ni elimu nyingine kabisa ila ili upate balance ni vizuri upate elimu tatu ya dini,ya darasani na ya mitaani( inaitwa elimu halisi kupitia matatizo, shida,na uzoefu mbali mbali).
Utampelekaje mahakaman huna ushahid?! Au hufaham mahakama znatoa hukum kwa ushahid uliojitosheleza??Kwanza afikishwe mahakamani kujibu shutuma za kuua albino. Huyu Josephat Gwajima anasadikiwa kuwa ni mteja wa viungo vya albino.
Hivyo vitabu alivyoandika hujaviona??Hizi ni Ph.D za kupewa kama njugu...Ni kama zile za JK....
Nimeona kwenye hicho chuo wametoa Ph D kwa kwaya master bora na waimbaji bora....
amen amen amen!ila hatijaua kama kabla ya kusoma hiyo PhD aliwahi kusoma hata degree??
Aliyekuambia kuandika vitabu kuna kupa sifa ya kuwa na PH D ni nani....? Hebu weka Elimu yake ya Form 4, na ufaulu wake, kisha tupe Elimu ya Advance, kisha leta Elimu ya Chuo, (Hapo ufaulu wa Degree ya kwanza ni muhimu sana)Hivyo vitabu alivyoandika hujaviona??
Kavisome na basi upate majibu.
Acha dharau za kijinga!!
Mmmmh, kasheshe sana hapa BongoKasomea kutukana?