Askari walinda amani wa Tanzania, wauliwa huko Congo

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
4,133
6,328
Askari wawili wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi cha usalama cha Mission de l'Organisation des Nations Unies pour la Stabilisation en République Démocratique du Congo (MONUSCO), wameuawa hapo jana baada kushambuliwa na watu wenye silaha huko Kivu ya Mashariki.

Pole kwa ndugu za marehemu


=====================================

9d3e04636a0943ada34659f7034ae40e_18.jpg

The MONUSCO base for peacekeepers in the North Kivu province of DR Congo [AFP]

KINSHASA, - Two United Nations peacekeepers from Tanzania were killed, 13 wounded and four were missing in eastern Democratic Republic of Congo on Tuesday when their patrol was ambushed by suspected Ugandan Islamist rebels, the United Nations said.

The peacekeepers were attacked in the village of Kikiki, around 50 km (30 miles) north of the town of Beni in North Kivu province, Felix Basse, spokesman for the mission known as MONUSCO, told Reuters

The Congolese army said earlier on Tuesday it had killed 16 Ugandan Allied Democratic Forces (ADF) rebels during fierce fighting in the same zone over the weekend.

U.N. Secretary-General Ban Ki-moon condemned the attack on the peacekeepers, which occurred as the mission was "carrying out its protection of civilians mandate". His spokesman confirmed the number of dead, wounded and missing.

"The U.N. remains committed to taking all necessary actions ... to protect civilians and neutralize armed groups in eastern (Congo)," Ban's spokesman said in a statement.

He said Ban condemned "the continuing atrocities perpetrated by the ADF against defenceless civilians in the Beni area".

Tuesday's ambush was the second attack on U.N. forces in the area in 48 hours after a MONUSCO helicopter carrying the mission's military chief was fired upon by unidentified gunmen on Monday.

"I won't tolerate any more of these repeated attacks against blue helmets in Beni territory," Martin Kobler, head of MONUSCO, tweeted following the attack. "MONUSCO will carry out robust offensive operations."

Congolese forces launched Operation Sukola I early last year against the Islamist ADF, who are accused of massacring some 300 villagers near Beni between October and December. MONUSCO is providing support for the offensive.

Eastern Congo, where a 1998-2003 conflict resulted in millions of deaths, remains plagued by dozens of armed groups that prey on the local population and exploit the region's vast reserves of gold, tin and diamonds

Chanzo: Reuters
 
Askari 2 wa tz waliokuwa kwenye kikosi cha usalama cha UN monusco wameuawa hapo jana baada kushambuliwa na watu wenye silaha huko kivu ya mashariki. Source: VOA. pole kwa ndugu za marehemu

Kwani Askari Wetu Bado Walikuwa Wanalinda Huko Congo Kwny M23? Yaan Wamekufa Wkt Nchi Sio Yao,kwa Nn?
 
Hivi wale askari waliouawa mwaka 2013 walikuwa 7. Zile Pesa zao walikwisha lipwa ndugu wa marehemu?. Isije kuwa ndio jay million.
 
Jamaa aogopi kuleta uzi kama huu wakati sheria ishasainiwa? Maana habari za hawa jamaa zinakuaga siri sana
 
mh...kila rabels group ni Islamist ......kumbe kuna waasi wa Uganda wa kiislam
 
Leo asubuhi nimefika kazini na kukuta watu kama vile walikua waikinisubiri kwa jambo fulani. Hatimae wote kwa pamoja walikua wakinipa pole kwa kupoteza wanajeshi wa Tanzania 2 na wengine 4 wakitekwa na maharamia, mbali na hao pia 13 wamejeruhiwa. Tukio hili la huzuni limetokea huko Beni. Tuombeane kheri maana mazingira ya kazi huku magumu sana. nami nitakwenda Beni this Friday Insha Allah. Nikipata habari zaidi nitarudi hapa


Waweza fungua link hii pia 2 Tanzanian UN peacekeepers killed in Congo
 
Leo asubuhi nimefika kazini na kukuta watu kama vile walikua waikinisubiri kwa jambo fulani. Hatimae wote kwa pamoja walikua wakinipa pole kwa kupoteza wanajeshi wa Tanzania 2 na wengine 4 wakitekwa na maharamia, mbali na hao pia 13 wamejeruhiwa. Tukio hili la huzuni limetokea huko Beni. Tuombeane kheri maana mazingira ya kazi huku magumu sana. nami nitakwenda Beni this Friday Insha Allah. Nikipata habari zaidi nitarudi hapa


Waweza fungua link hii pia 2 Tanzanian UN peacekeepers killed in Congo

Mama Yangu Ewe Mwenyezi Mungu Pishilia Mbali. Nina Mdogo Wangu Kabisa Private Leonard Desh Desh Sijui Kapona! Ngoja Nimtafute Hewani.
 
Sasa hawa askari wetu watakaa huko mpaka lini huku wakindelea kuuliwa taratibu? Kuwe na muda kuwa baada ya miezi kama mitano wanarudishwa wanapelekwa wa nchi nyingine. Huu mtindo wa kuwasifu watu kuwa wamekufa kishujaa wakati wamekufa tuuangalie upya. Wanaoteseka ni familia na ndugu wa marehemu wakati viongozi watajisifu tu kuwa askari wetu ni makini na wamekufa kishujaa halafu baada ya hapo familia na ndugu wanaendela kuteseka bila msaada wowote. Uzoefu unaonesha watu huwa wanasifiwa sana baada ya kufa na wakati wa mazishi na ndipo ahadi nyingi hutolewa mara oh, tutahakikisha mke na watoto wa marehemu wanapata haki yao na kusaidiwa pamoja na ahadi nyingi lukuki lakini baada ya mazishi ndiyo mwisho wa hadithi kinachofuata ni ukiwa, shida na mateso yasiyokwisha kwa familia za marehemu na ndugu waliokuwa wakimtegemea marehemu.
 
Back
Top Bottom