Askari magereza wafanya vurugu kubwa mizani ya magari watoa kipigo na,kuvunja meza

Ina haki zote hata kutoa na malazi!Ni chama tawala chama dume nyie wote majike tushawapiga mimba!

Sawa mheshimiwa lusinde, wote tuna mimba, haina neno, but remember your words can be used against you in future days to come, soon and very soon! Sawa wazee wa matuc!
 
Wale wa JW mbona huwa hawapimi vifaru wanavyo safirisha?Unajua kifaru kina tani ngapi wewe?

we sa ulitaka na vifaru vipimwe? acha masihara bana,yaan badala masolder wawah kulinda mipaka wakalie kupima mizan,ebo! hebu tafakar upya!
 
Hawa askari wanavuta ndumu na kunya viroba cyo bure akili matope kwl
 
Natumaini Magufuli atawafungulia kesi j3 wameidhalilisha ofc yake la awape kila mizani bastola anayeleta za kuletwa anapewa za kichwa!
 
Mdau ni mzani wa wapi? Msafara huo nimeufuatilia tayari umeashaingia Mbeya na saizi unaelekea Kiwira. Mbeya au Iringa kuna mzani?

Pale Tanangozh kuna wakati wanaweka Mobile weigh bridge. Makambako kuna mzani pia tena wa siku nyingi. Maeneo hayo yalikuwa chini ya TANROADS Iringa.
 
Rushwa(mizani) v/s Ubabe(askari yeyote) = Matunda Ya Watawala.

Watch n Learn soon Tz inakuwa uwanja wa vita
 
Habari nilizozipokea hivi punde kutoka kwa mdau wangu wa mikoani kuwa askari magereza waliokuwa wakielekea Mbeya wakirudi wakitokea kwenye gwaride la muungano wamefanya vurugu kubwa kwenye mizani baada ya basi walilokuwa wamekodi la kampuni ya Muro kuwekwa korokoroni kwa kushindwa kulipa faini ya kuzidisha uzito,askari hao hawakutaka kuelewa wala kuruhusu wenye basi kulipa faini walianza kutoa kichapo kwa watu wa mizani na kuvunja meza,viti na samani hadi askari polisi walipoingilia kati kutuliza fujo hizo.Nawasilisha
hiyo hatari sasa hao arkari hawana akili sasa kama gari imezidi wanataka walipiwe na nani fein yao? Je hiyo mizani hawana hata ulinzi au vip? Nawapa pole hao wafanyakazi na watanzania tunatakiwa kuelewa kuwa swala la gari kuzidi na kulipa faini ni jukumu la transporter na kila gari inayozidi ni jukumu la operator kuitoza fein iwe ya serikali au mtu binafs lbd ikiwa na special permit toka wizaran
 
Ah,nao mizani wamekosa busara pia, kundi la jamii yoyote ya askari wawapo kwenye usafiri wowote km lori, basi, pick up nk. hua hawahesabiwi km abiria wa kawaida. Ndo maana pamoja na sheria kukataza malori kusafirisha abiria lkn askari hio haiwahusu. Sasa chukulia mfano hao askari walikua wanatoka pared, walikua group tena kwa gari ya kukodi. Wamejinunulia hiki na kile sababu Dar bei nafuu, uzito umeongezeka kidogo. Kunatatizogani bw mizani kutumia busara zake? Tena wote hawa ni serekali. Wasijikoshe mizani, wananuka rushwa mtupu hawa
 
Tatizo maaskari wengine wote huwa wanawadharau sana askari magereza, wanawaona kama wafungwa tu, wanawaona kama vile sio askari sanaaaa...ndo maana wanakuwa wanyonge....dharau si nzuri kwa hao walimu wa chuo cha mafunzo jamani..
 
Nyani haoni kundule?, Wananchi wakichukua sheria mkononi kwa vibaka mnaita ameuawa na wananchi wenye hasira kali, basi nao midhani waadhibiwa na askari wenye hasira kali? nani hajui kuwa mizani ni mtambo wa rushwa|?
 
Safi sana, sini mantiki ya kuwa na mizani kila kata. Mizani ni kichaka cha kuficha madhambi ya kuchakachua fedha na kujenga barabara za viwango vya chini. Highway lazima ujenge kwa maximum limit. Mbona nchi nyingi hata majirani zaetu hawana mizani kila kata? UFISADI MTUPU
 
Tatizo maaskari wengine wote huwa wanawadharau sana askari magereza, wanawaona kama wafungwa tu, wanawaona kama vile sio askari sanaaaa...ndo maana wanakuwa wanyonge....dharau si nzuri kwa hao walimu wa chuo cha mafunzo jamani..

Jamaa wanadharaulika sana hadi magwanda yao ndo sare rasmi za makonda wa daladala!!
 
Updates:waliishia kulipa faini iliyolipwa na bosi wao aliyekuwa kwenye bus askari wenyewe badala ya transporter na walichangishana gari zima na kupata hela ya kufidia meza chini ya uangalizi wa askari wa ffu waliowataiti kinoma!!dah nimecheka sana nilivyoambiwa haya ubabe woote waliuweka mfukoni mbele ya FFU!!
 
Haya ndiyo yanaimaliza nchi hii!
Mabasi ya abiria yana utaratibu maalum wa kutumia public roads.
Je kama wanajeshi hao hawakuwa na mizigo ila dereva aliamua kubeba mizigo ili kupiga bao???!

Back
Top Bottom