Asilimia 30? - Kikwete amesalimu amri kwa ufisadi!?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997
Over 30pct of Budget eaten by corrupt oofficials ,says JK (The Citizen)
13669.jpg
President Jakaya Kikwete (2nd left) and Prevention and Combating of Corruption Bureau director-general Edward Hosea (right) tour a section of the new PCCB building in Dar es Salaam yesterday. By Beatus Kagashe

A significant amount of Government money is diverted to personal use each year by corrupt senior public officials, President Jakaya Kikwete said yesterday.

He said a third of the Government's annual budget allocations ends up in individual pockets through rampant corruption.

The money is lost through dubious procurement deals, the President said in Dar es Salaam while opening new offices for the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB).

Urging the anti-corruption agency to be more vigilant, Mr Kikwete said there was a high probability that of the Sh9 trillion Budget for 2009/10, some Sh3 trillion would end up in some senior Government officials� pockets.

He challenged the corruption watchdog to devise new strategies to deal with widespread double-dealing in public procurement.

"If you can stop graft in this area, you will be saving a quarter of the money in the Government Budget," he said.

President Kikwete told the PCCB to double check all the big contracts the Government enters into with private companies.

He said a significant number of dishonest civil servants were turning themselves into overnight billionaires through huge kickbacks.

"Apparently, large sums of money change hands through dubious deals in mostly controversial contracts," the President said.

For its part, the Government is in the process of reviewing laws on its contracts and the Public Procurement Act to plug the existing loopholes, he added.

He called on the PCCB and Controller and Auditor General (CAG) to work in cooperation in the fight against corrupt elements within local and the central Government.

"Local governments must also be put under scrutiny because, that is where a lot of funds are being directed," he said, adding:

"The Government has increased its budget but it is meaningless if a third of the money is lost through corruption."

The President Kikwete further urged the PCCB to prepare itself to deal with corruption as the 2010 General Election nears.

He said the agency staff must resist any form of enticement from politicians seeking public office.

"We need to have good leaders through free and fair elections, but this is achieved when you (the PCCB) put up proper strategies to handle the process," he told the agency's employees.

The President said corruption was still one of the biggest problems affecting the country�s electoral system, and this was hindering people from electing competent leaders.

He said: "If no immediate action is taken to stop corruption (in elections), we will continue having leaders who do not care about development, which pulls the nation down."

The Government is currently working on a new law that seeks to prevent holders of public office from engaging in business.

Another bill is on the cards and could soon be tabled in Parliament to check on how party funds are spent during elections.

Mr Kikwete said the two bills, aimed at enhancing good governance, could be tabled in Parliament in October.

"We will do whatever is necessary to make sure our country builds a strong pillar of good governance in the civil service," he said.

Referring to the bill on scrutinising political parties' expenditures during elections, President Kikwete said it would stop politicians from "buying people".

Between 2005 and now, the PCCB has recorded more than 471 corruption cases. This is a major increase from the 50 cases in 2005.

The President praised the watchdog for stepping up the war on graft, saying its efforts in the past few years justified the Government's decision to allocate it more funds.

He urged PCCB officials not to succumb to undue pressure from influential people who are under investigation.

"We understand your work is risky, and it needs courage and confidentiality," the President said.

Speaking during the occasion, the PCCB Director General, Dr Edward Hoseah, said the agency was currently working with some NGOs on a research to determine the extent of corruption in the country.

The results of the research would be released in October, he said.

Dr Hoseah commended the support provided by the Government and National Social Security Fund (NSSF) in the construction of the new PCCB House in the city.

The construction of the Sh4.1-billion offices began in October 2007 and ended in March this year.

Senior Government officials attended the PCCB House's inauguration yesterday, including the minister of State in the President's Office (Good Governance), Ms Sophia Simba.

Swali:

Trilioni 3 mikononi mwa maafisa wa serikali yako? You must be kidding me! Kuna faida gani kufanya tunayoyafanya? Screw 'em! this is absolutely insane.. are we a Banana republic? Halafu mnatuandikia sifa za kijinga na kujipamba kwa sifa za uongo..! grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.. msonyoooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!! This is hopeless! ngoja nianze kufikiria jinsi ya kuingia siasa za hapa.. Tanzania is a hopeless case!!!! #@$%! em!!

I'm really pissed off.. a president of our God-abandoned country got no idea what to do with corrupt officials in his god-forsaken government.. He proudly announces that 30 percent of the money inaishia mifukoni mwa maasifa wa serikali yake!.. Wakati huo huo serikali hiyo imekinga mkono kupokea Bilioni 690 toka Ulaya kiasi ambacho ni chini ya theluthi moja ya fedha zinazoishia mifukoni mwa wajanja!!!

anaposema maafisa wa ngazi za juu wa serikali.. yeye mwenyewe yuko ngazi gani na amejua zinaishia huko? how do we know some of this money doesn't end in his own pockets kwa sababu na yeye ni ngazi za juu?

#$@@@ Em!!!
 
Last edited:
Haya ndiyo mafanikio aliyosifia Obama....
Mi nilidhani hawajui kuwa zinaliwa, kumbe wanajua!!!
 
Nchi zingine wamenyimwa resources waka barikiwa na viongozi wabunifu na wenye vision wakaendelea. Africa tumejaliwa resources lakini tuka laaniwa when it came to leaders. Matokeo yake ni hizo resources kuwa tajirisha wengine au wachache.
 
Hii appearance ya ufunguzi wa jengo ilikuwa sawasawa na ile appearance ya pale bandarini; "nina orodha ya watu wanaopokea rushwa hapa bandarini, nitawashughulikia" - Obama kupitia IFM akapiga makofi - kwa kwa kwaa kwaaa kwa kwa kwaaaaaaaaaaaaa!!!

Hii thread si iunganishwe na ile ya kusifiwa...
 
[QUOTE=Mzee Mwanakijiji;517289]

... This is hopeless! ngoja nianze kufikiria jinsi ya kuingia siasa za hapa.. Tanzania is a hopeless case!!!! #@$%! em!!..

#$@@@ Em!!![/QUOTE]

Unasubiri nini...?Muda wa Kuzungumzia ktk Kibuyu Haupo tena...karibu ktk battle ground!!!!
 
At least JMK analijuwa hali na analifanyia kazi na matokea tunayaona, Waziri Mkuu Chini, mawaziri na wengine wengi kizimbani. Na bado JMK kutemebelea hilo jengo si kwenda kutazama lilivyojegwa ni kwenda kutazama wanafanya nini na kuwapa maagizo mapya. Tutaona muda mchache ujao. Wala rushwa wakae chonjo.
 
Yep, precisely, analijua na analifanyia kazi. Orodha zitakuwa handled kwa atakayeshika madaraka 2015!

Na kama kuna mtoto amezaliwa 2005 basi atakuwa na miaka 10 tayari na mwenye uwezo wa kusoma orodha ya majina!!
 
By the way hakuudi tena bandarini kama alivyoasema, meli bado zimerundikana kule nje kama kawaida, TICS nao kreni zao mbovu hazifanyi kazi, MGAWE kila akikutana na menejimenti yake anawaambia "HAYA KIKO WAPI" na huyo JK wenu...bodi ya bandari nao wanalalausingizi mworororroooo

hukuwatanzania sasa wameamua kuingiza magari na bidhaa zao kupitia Bandari ya Mombasa ambako wanalipa zaidi lakini wanatoa mzigo in just couple of hours, na magari yao hayaibiwi redio wala nini

NGUVU MPYA ARI MPYA KAZI MPYA
 
Over 30pct of Budget eaten by corrupt oofficials ,says JK (The Citizen)
13669.jpg
President Jakaya Kikwete (2nd left) and Prevention and Combating of Corruption Bureau director-general Edward Hosea (right) tour a section of the new PCCB building in Dar es Salaam yesterday. By Beatus Kagashe

A significant amount of Government money is diverted to personal use each year by corrupt senior public officials, President Jakaya Kikwete said yesterday.

He said a third of the Government's annual budget allocations ends up in individual pockets through rampant corruption.

The money is lost through dubious procurement deals, the President said in Dar es Salaam while opening new offices for the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB).

Urging the anti-corruption agency to be more vigilant, Mr Kikwete said there was a high probability that of the Sh9 trillion Budget for 2009/10, some Sh3 trillion would end up in some senior Government officials� pockets.

He challenged the corruption watchdog to devise new strategies to deal with widespread double-dealing in public procurement.

"If you can stop graft in this area, you will be saving a quarter of the money in the Government Budget," he said.

President Kikwete told the PCCB to double check all the big contracts the Government enters into with private companies.

He said a significant number of dishonest civil servants were turning themselves into overnight billionaires through huge kickbacks.

"Apparently, large sums of money change hands through dubious deals in mostly controversial contracts," the President said.

For its part, the Government is in the process of reviewing laws on its contracts and the Public Procurement Act to plug the existing loopholes, he added.

He called on the PCCB and Controller and Auditor General (CAG) to work in cooperation in the fight against corrupt elements within local and the central Government.

"Local governments must also be put under scrutiny because, that is where a lot of funds are being directed," he said, adding:

"The Government has increased its budget but it is meaningless if a third of the money is lost through corruption."

The President Kikwete further urged the PCCB to prepare itself to deal with corruption as the 2010 General Election nears.

He said the agency staff must resist any form of enticement from politicians seeking public office.

"We need to have good leaders through free and fair elections, but this is achieved when you (the PCCB) put up proper strategies to handle the process," he told the agency's employees.

The President said corruption was still one of the biggest problems affecting the country�s electoral system, and this was hindering people from electing competent leaders.

He said: "If no immediate action is taken to stop corruption (in elections), we will continue having leaders who do not care about development, which pulls the nation down."

The Government is currently working on a new law that seeks to prevent holders of public office from engaging in business.

Another bill is on the cards and could soon be tabled in Parliament to check on how party funds are spent during elections.

Mr Kikwete said the two bills, aimed at enhancing good governance, could be tabled in Parliament in October.

"We will do whatever is necessary to make sure our country builds a strong pillar of good governance in the civil service," he said.

Referring to the bill on scrutinising political parties' expenditures during elections, President Kikwete said it would stop politicians from "buying people".

Between 2005 and now, the PCCB has recorded more than 471 corruption cases. This is a major increase from the 50 cases in 2005.

The President praised the watchdog for stepping up the war on graft, saying its efforts in the past few years justified the Government's decision to allocate it more funds.

He urged PCCB officials not to succumb to undue pressure from influential people who are under investigation.

"We understand your work is risky, and it needs courage and confidentiality," the President said.

Speaking during the occasion, the PCCB Director General, Dr Edward Hoseah, said the agency was currently working with some NGOs on a research to determine the extent of corruption in the country.

The results of the research would be released in October, he said.

Dr Hoseah commended the support provided by the Government and National Social Security Fund (NSSF) in the construction of the new PCCB House in the city.

The construction of the Sh4.1-billion offices began in October 2007 and ended in March this year.

Senior Government officials attended the PCCB House's inauguration yesterday, including the minister of State in the President's Office (Good Governance), Ms Sophia Simba.

Swali:

Trilioni 3 mikononi mwa maafisa wa serikali yako? You must be kidding me! Kuna faida gani kufanya tunayoyafanya? Screw 'em! this is absolutely insane.. are we a Banana republic? Halafu mnatuandikia sifa za kijinga na kujipamba kwa sifa za uongo..! grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.. msonyoooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!! This is hopeless! ngoja nianze kufikiria jinsi ya kuingia siasa za hapa.. Tanzania is a hopeless case!!!! #@$%! em!!

I'm really pissed off.. a president of our God-abandoned country got no idea what to do with corrupt officials in his god-forsaken government.. He proudly announces that 30 percent of the money inaishia mifukoni mwa maasifa wa serikali yake!.. Wakati huo huo serikali hiyo imekinga mkono kupokea Bilioni 690 toka Ulaya kiasi ambacho ni chini ya theluthi moja ya fedha zinazoishia mifukoni mwa wajanja!!!

anaposema maafisa wa ngazi za juu wa serikali.. yeye mwenyewe yuko ngazi gani na amejua zinaishia huko? how do we know some of this money doesn't end in his own pockets kwa sababu na yeye ni ngazi za juu?

#$@@@ Em!!!

Kwani maafisa wa PCCB nao ni wa ngazi ipi? Wanachaguliwa kwa kigezo gani na ni nani anayewachagua?
Kama 500mil ilitengwa kwa chai, sishangai kama wewe ulivyoshangaa kuwa asilimia 30 inaliwa. Serikali ya Tz imebaki kuwa kichaka cha giza nono. Bila kuwa na uwazi zaidi hasa na hela za wananchi, tutaendelea kulia tu.
Kuna misemo mingi inayoendena na hii cinema tunayochezewa kila siku. Kwa mfano 'mwizi hawezi kumkamata mwizi mwenzake', 'huwezi kukata mkono unaokulisha', nk. Ndo hapo sasa....

Kilichonipa furaha kwa mbali ni hizo bills mbili alizozitaja. Swali langu ni kama hizo bills zitakuwa passed, nani atazisimamia? PCCB au polisi?
 
I am absolutely baffled by President Jakaya Kikwete's statement that 30 percent of Tanzania's Budget is syphoned into the pockets of his own Government's officials. He goes on to say that contracts for government projects contain inflated costs to stuff the corrupt officials' pockets!

I am baffled because I thought the larger projects in the Government programme of development are deliberated by the Cabinet and agreed before implementation. The cabinet is chaired by the President himself, and indeed the Cabinet under our constitution, is only advisory to the President.

If billions of shillings are disappearing from projects, is it not the result of Presidential appointees not performing their functions and responsibilities properly? Why does the President not take action against incompetent or corrupt officials? Why should he postpone action against them until they cause such a disproportionately high loss to the public?

The recent spate of allegations against mafisadi has only resulted in a few being arraigned before the courts. Hesitation and prevarication on the part of top Tanzanian leadership have resulted in this scandalous misuse of our resources, putting a brake on our development and occasioning untold sufferings to most Tanzanians. I dare say it was our fault to elect such leadership.
 
mwakjj, naona anakaribia kutafuna urimi wake mwenyewe. ndo nchi wa wadanganyika hiyo kaka. that is truely and nothing but only the trueth. huwezi kuwa na nchi ambayo mfumo wa pesa hauna udhibiti, halafu ukaiweza rushwa. Maneno yake hayo anaongozwa na hisia tu. fikiria siku ambapo kila aliyepewa dhamana ya pesa ya serikali, atakuwa akiulizwa kwa, kujenga, kufuga, kununua gari na chochote kitumiacho pesa nyingi, kuhusu wapi amepata pesa ya kufanyia jambo hilo.
That was the situation in SOUTH Afrika. kabla ya Zuma kuua anticorupt' ya kule kwa jina la scorpion. TANZANIA TUMELAANIWA. TUCHUKUE HATUA SASA.
 
Halafu jamani, inabidi tufikiri hata kabla ya kuamua kulaumu. Amefungua jengo la PCCB lenye thamani ya tsh BILIONI NNE. fikiria kiasi hicho cha pesa na ujenzi wa kitanzania. hilo jeno lina ukubwa gani, lina taasis ngapi na lina vitu gani ndani, kama sio ufisadi juu ya ufisadi na uharibifu wa mali za umma. budget ya chumba kimoja cha darasa la sekondari ni tsh milion 12. think the of bilion 4.

mashine ya dialysis Muhimbili ni tsh 250 milion, kwa govern hospital is the only,
kwa lami nyepesi barabara za dar ni tsh 300 mil, fikiria zingejenga km ngapi kupunguza msongamano ule bongo ,na pesa ya kujenga ingetokana na matumizi ya barabara hizo, kuna majengo mangapi ya serikali hayana matumizi, kwa nini ujenzi wa jengo hilo uwe kipaumbele?
 
By the way hakuudi tena bandarini kama alivyoasema, meli bado zimerundikana kule nje kama kawaida, TICS nao kreni zao mbovu hazifanyi kazi, MGAWE kila akikutana na menejimenti yake anawaambia "HAYA KIKO WAPI" na huyo JK wenu...bodi ya bandari nao wanalalausingizi mworororroooo

hukuwatanzania sasa wameamua kuingiza magari na bidhaa zao kupitia Bandari ya Mombasa ambako wanalipa zaidi lakini wanatoa mzigo in just couple of hours, na magari yao hayaibiwi redio wala nini

NGUVU MPYA ARI MPYA KAZI MPYA

Atarudi bandarini vipi wakati yupo safarini... nadhani sometimes tulaumu zaidi wasaidizi wake!! sijui huwa wanafuatilia vipi utekelezaji wa kauli zake....

labda tumchukulie poa kwamba taarifa anapata and we hope atakayekuja atafuatilia, kama ambavyo ya mkapa yalifumuliwa!!

ARI MPYA, NGUVU MPYA, KASI MPYA.... BREKI ZA ZAMANI, MBINU KWENYE BUTI, NEGE YETU HIYOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!????????

A good systems recognizes the power of rational delegation
 
Huyu jamaamsemaji mzuri lakini ukimwangalia usoniunaona kwamba ni usanii, anasema anataka kuzuia rushwa kwenye uchaguzi wakati yeye ameingia madarakani kwa msaada wa pesa zakagoda. Biharamuro juzi wameonga wanawake mpaka chupi za ndani! kwa maana nyingine wametoa rushwa ya kudhalilisha wanaume mpaka wanawanunulia wanawake wao nguo za ndani! Usanii tupu.
 
By the way hakuudi tena bandarini kama alivyoasema, meli bado zimerundikana kule nje kama kawaida, TICS nao kreni zao mbovu hazifanyi kazi, MGAWE kila akikutana na menejimenti yake anawaambia "HAYA KIKO WAPI" na huyo JK wenu...bodi ya bandari nao wanalalausingizi mworororroooo

hukuwatanzania sasa wameamua kuingiza magari na bidhaa zao kupitia Bandari ya Mombasa ambako wanalipa zaidi lakini wanatoa mzigo in just couple of hours, na magari yao hayaibiwi redio wala nini

NGUVU MPYA ARI MPYA KAZI MPYA
...moment of truth.
...when strays are brought back!
 
At least JMK analijuwa hali na analifanyia kazi na matokea tunayaona, Waziri Mkuu Chini, mawaziri na wengine wengi kizimbani. Na bado JMK kutemebelea hilo jengo si kwenda kutazama lilivyojegwa ni kwenda kutazama wanafanya nini na kuwapa maagizo mapya. Tutaona muda mchache ujao. Wala rushwa wakae chonjo.

I think I have heard this song before. So many times before.
 
...kama ni redio kasetti, basi zile eject na rewind buttons zimenyofoka!
...kama ni cd, basi imechezwa na ina mikwaruzo kuliko bakuri la shaba jeshini!
...kama ni vinyl, sindano imeshakuwa butu kana ncha ya kijiko
 
Katika hiyo 30% yeye yakwake kiasi gani?????
Hivi anajua kuwa yeye ndio amewateaua hao watu wanaokula, wanaochunguza, wanaokamata na wanaoshitaki

jamani imeshakuwa "dishonest civil servants" na "sio dishonest politician" naona taratibu jk kashaanza kakwepa lawama

HIVI CIVIL SERVANTS NA POLITICIAN NANI NDIO WEZI WAKUU???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom