AshaDii where are you at?

Status
Not open for further replies.
AshaDii ni jembe la JF litakuja sasa hivi kulima. Ila nasikitika sana kuona watu hawa wamekimbia JF, Malaria Sugu na FF.

Nilikuwa napenda comment zao kabla na baada ya kujiunga JF.
 
dunian mambo mengi, km mwenye nyumba kamkataza kutia mguu humu utajuaje? kuna watu watemi wanajua kabisa hapa ndo pa kupataia maujanja sasa anampiga "stop"
teh teh teh
 
dunian mambo mengi, km mwenye nyumba kamkataza kutia mguu humu utajuaje? kuna watu watemi wanajua kabisa hapa ndo pa kupataia maujanja sasa anampiga "stop"
teh teh teh


kamanda mimi nataka kujua tu habari zake kua yupo salama? Sio kawaida yake kua kimya mda mrefu.
 
AshaDii is fine Shabhan, just a bit busy and sort of out of the coverage area. She will be back soon. She sends her greetings to all JF members.
 
Nimempigia anawasalimu. Yuko vekesheni. Anasema msimtajetaje wala kum-mention kwenye posts zenu kwakuwa anapata kwikwi sana mkifanya hivyo. Kongosho twenzetu bana...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom