Asha Rose Migiro Simama ujitetee mwenyewe! Kumbe Bibie umeng'olewa UN!!!

Mi mwenyewe mbona sisemi?Pamoja na hiyo source hapo juu,pengine kuna madudu ameyaona akaamua aache arudi kufundisha UDSM
 
uyo ban ki-moon yy mwenyewe anafanya nini! ye si ndo mkuu! nisawa na yale yale ya kuvunja baraza la mawaziri tu! wakati UN inaendeshwa ki maslahi ya taifa fulani hapa duniani!mama huyo asingewafiti kwenye masilahi yao. si mnamuona koffi annan sasa ivi anavyowafiti kwenye masilahi yao! UN sawa na chama fulani hapa TZ

washakwambia kua alikua hajui siasa ya Dunia ! Hawezi fit k wenye UN yao !
 
Hakuweza kufanya kazi pale un.kila mara yupo bongo.tuongee ukweli hakufiti pale.kama ingekuwa ukweli angeendelea.
 
Mimi naunga mkono kuwa utendaji wake ulikuwa chini, kwa nini miaka mitano wengine wanaendelea?
 
wa--ngu kama hujawahi kufanya nao kazi,unaweza kulaumu sana watu!mimi huyu mama kanifurahisha alipoamua kujirudia UDSM kufundisha!
 
Back
Top Bottom