Asante Mungu, Asanteni Jf, Utumishi wqmeniita kazini!

Kwanza kabisa namshukr Mwenyezi Mungu, BABA mkuu wa rehema na fadhila hakika kumtegemea Mungu ni zaid ya inavyoweza kuelezeka.
Nlipokuwa chuoni nilimuomba Mungu, kwamba Oral Interview yang ya kwanza, hyo hyo ndo iwe kazi yangu, BWANA kanijibu kweli, Nlifanya oral interview kwa mara ya kwanza na utumishi (mwezi june 2014) na BWANA kajibu kama nlivyoomba, nimeitwa kazini!!

Lakin pia nitakuwa mchoyo wa fadhila kama nisipoushukuru uongozi wa Jamii Forums kwa kuweka hili jukwaa!!!

Lakini pia niwashukuru memberz wooote waliowahi kuchangia au kupost humu jambo lolote kuhus interview za utumishi.
Nilipoitwa kwa ajili ya interview kitu cha kwanza nlisearch post zooote zlizokuwa zinazungumzia "utumishi interview" na kupitia hzo post na michango iliyokuwemo niliweza kujifunza kitu na kwa asilimia kubwa ni kama nilipata muongozo woote kuhusu interview za utumishi.

Asanten saaana wakuu BWANA awabariki na kuwazidishia.

hongera kijana...wakati wengine wanaitumia jf kwa matusi ya siasa na ujinga mwingine, great thinkers wanaitumia kusonga mbele, hongera na uwe balozi mwema wa jf, sisi wanajamii tunakutakia uitendeke kazi vyema....epuka rushwa!!
 
Hongera sana mkuu, usisahau kuendelea kusali sana kwani kuna wenzako waliishaitwa oral interview kibao na bado hawajafanikiwa
 
Pia nikupongeze kwa kukumbuka kutoa shukran ni watu wachache sana wanakumbuka kutoa shukran baada ya kufanikiwa.

Hongera sana kila la heri ufanikiwe
 
Hakuna mjomba, shangazi au ndugu yako aliye kusaidia huko?

Hawakukuuliza wewe CCM au Chadomo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom