Asante Maxence Melo kwa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan Katiba Mpya LIVE

Akili imekuruka, akiwa anaomba kura kwa nafasi ya ugombea mwenza ukumuona? Au unajifanya hujui nafasi hiyo inamaana gani? Na kwa taarifa yako, huyu ni bora kuliko huyo uliemwabudu!
Hakika mkuu.

Mama amefanya kazi bega kwa bega na mtangulizi wake. Kama hana maana mbona alipotaka kujiuzulu baada ya kuwa mambo yanaendeshwa vurugu vurugu ilibidi "watu wazima" waingilie kati??

Wasiojua utawala ndio watakaosema eti nafasi ya Makamo wa Rais haina maana. Sisi tuliosomea na tunaofanya mambo ya Administration ndio tuna upeo wa kuona umuhimu wa nafasi hii.
 
Tatizo kubwa sana hili.

Hata kwenye kampuni tu za kawaida ni kwamba boss anakuwa hana kazi. Hii mentality ndiyo iliyojengeka miongoni mwetu
Siasa zinatunyima uwezo wa kuhukumu kwa haki tunapowaongelea viongozi wa kitaifa.

Rais alizunguka nchi nzima 2015 na mwaka jana hivyo ni ujinga kusema eti haufanyi kazi mshahara wake.
 
Hakika mkuu.

Mama amefanya kazi bega kwa bega na mtangulizi wake. Kama hana maana mbona alipotaka kujiuzulu baada ya kuwa mambo yanaendeshwa vurugu vurugu ilibidi "watu wazima" waingilie kati??

Wasiojua utawala ndio watakaosema eti nafasi ya Makamo wa Rais haina maana. Sisi tuliosomea na tunaofanya mambo ya Administration ndio tuna upeo wa kuona umuhimu wa nafasi hii.
Mama atakuwa alinyanyaswa sana na watu wa karibu wa hayati JPM.

Wamo humu kutwa kuanzisha threads za majungu na unafiki.
 
Marekani hawana Waziri Mkuu kwa hiyo kazi za Waziri Mkuu zinafanywa na Makamu wa Rais ndo maana wa Marekani pia ndo Mwenyekiti wa Senate tofauti na wa kwetu anayengoja miaka 10 bila kazi mpaka Rais afariki ili aanze kazi ya Urais. Rais asipokufa madarakani, Makamu atakuwa amelipwa mshahara muda wote kumwombea afe ili arithi!
Nani kakwambia hawana kazi.ina maana kazi alizokua anafanya mohamed shein,gharib bilal,malecela,warioba,msuya, ukuziona,au ulikua ujazaliwa.au umeathiriwa na awamu iliyopita ambayo rais alijimilikisha kila kitu akitaka asikike yeye tu ndo maana ukusikia au ukuona kazi alizokua anafanya SSh.Nenda kafwatilie majukum ya makamu wa rais alafu urudi tena.
 
Maxence Melo ( JF Founder ) ni ' Genius ' Mmoja kuwahi kutokea na kupatikana si tu nchini Tanzania bali hata Barani Afrika.

Achilia mbali tu Uwezo wake mkubwa sana wa Akili alionao, Taaluma yake ila pia ana ' exposure ' ya Kutukuka katika ' Masuala ' ndiyo maana kila akiongea katika ' Interviews ' zozote utakutana na ' Madini ' yake yaliyotukuka.

Nahisi atakuwa na Damu ya Israel pia ukichanganya na ile ya Kwao Watani zangu ' Wahaya ' ambao nao Kiasili wana ' IQ ' kubwa mno.

Hilo la Katiba naungana nae tena 200%.
 
Nani kakwambia hawana kazi.ina maana kazi alizokua anafanya mohamed shein,gharib bilal,malecela,warioba,msuya, ukuziona,au ulikua ujazaliwa.au umeathiriwa na awamu iliyopita ambayo rais alijimilikisha kila kitu akitaka asikike yeye tu ndo maana ukusikia au ukuona kazi alizokua anafanya SSh.Nenda kafwatilie majukum ya makamu wa rais alafu urudi tena.
Hana ajualo huyo jamaa.

Ila ni vizuri kumpa elimu pia
 
Na ndio tupo tunasubiria.

Tunamuombea kwa Mungu kila Leo asije akabadilisha au akabadilishwa mawazo yake juu ya suala hili. Lakini pia tunamuombea kwa Mungu ampe umri na uwezo wa kukamilisha azma yake hii.

mchakato wa katiba kwa namna moja una faida lakini ulivoletwa ni useless, yaaani unalilia katiba mpya ili uingie madarakani?
 
Mama atatupa katiba kweli!ndio ajenda kuu kampeni uchaguzi 2025!!lakini tutaikumbuka katiba ya sasa!!ccm haiwezi kuleta katiba ya kuwapa dola wapinzani bali kung'ang'ania dola isiwaponyoke mikononi mwao!!!
 
Back
Top Bottom