joldy sharsh
Member
- Nov 2, 2017
- 36
- 19
Binafsi nimeshakoma kununua asali kwa wanaotembeza mtaani! Niliuziwa lita moja nikatumia siku 3 ikaganda! Baadae nikagundua ni asali kidogo imechanganywa nta na na sukari! Bora nikanunue iliyosindikwa kiwandani.Tunauza asali mbichi ya nyuki wadogo
Tumia asali mbichi kila siku kwa afya njema
Asalimbichi ya nyuki wadogo kutoka tabora na katavi
lita moja 12,000
nusu lita 6,000
robolita 3,000
Free delivery DM(dar) or 0766185283View attachment 1158804
HatariBinafsi nimeshakoma kununua asali kwa wanaotembeza mtaani! Niliuziwa lita moja nikatumia siku 3 ikaganda! Baadae nikagundua ni asali kidogo imechanganywa nta na na sukari! Bora nikanunue iliyosindikwa kiwandani.
Boss sio kila mtu yuko hvyo ata kuonja unaruhusiwa ukiona kuna tatizo unarudisha siuzi kwa siku moja ila nimewekeza kila kitu ili kujijengea brand kubwa karibu ujaribu ili uwe mfano mzur kwa wengineBinafsi nimeshakoma kununua asali kwa wanaotembeza mtaani! Niliuziwa lita moja nikatumia siku 3 ikaganda! Baadae nikagundua ni asali kidogo imechanganywa nta na na sukari! Bora nikanunue iliyosindikwa kiwandani.