Asali asali asali

dotto

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
1,725
255
WanaJF nina asali ya kutosha na iko sokoni. Natafuta soko la jumla kama Lita 400. Pls.
 
Unauza bei gani mkuu?
Je imekaguliwa na kuidhinishwa kwa matumizi na mamlaka husika?
 
Weka sifa ya asali kama mbich au imepikwa.nyuki wadogo au wa kubwa.pia bei kwa lita sh. ngapi?
 
Weka sifa ya asali kama mbich au imepikwa.nyuki wadogo au wa kubwa.pia bei kwa lita sh. ngapi?

Ni ya nyuki wakubwa, mbichi, humidy ni 17.8% to 18% na bei tunaelewana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom