AS PER 28th RESULTS, CDM INSPIRES AND DESERVES TO WIN 2015, NOT DREAMS

Kifo chao kipo kwenye marekebisho ya daftari la kupiga kura, hata wakukuruke ni kisu shaaaaaa bila huruma.
 
Kifo chao kipo kwenye marekebisho ya daftari la kupiga kura, hata wakukuruke ni kisu shaaaaaa bila huruma.

Daftari la wapiga kura ni changamoto kubwa sana kwa cdm kwa sasa! Wengi wa wafuasi wake either hawakujiandikisha, hawakuwa wametimiza umri au wamepoteza. Inapofika siku ya kupiga kura, utaona ni wale wale wazee na akina mama. Vijana mh!
 
Back
Top Bottom