Arusha: Tishio la CHADEMA kuandamana nchi nzima, Polisi wakesha wakilinda sehemu za wazi

Acha uongo na ushabiki wa kijinga. Soma sheria ya usalama wa taifa ya mwakan1966 kifungu na. 21 na 22 ujue ni namna gani wanajeshi wanaitwa kufanyakazi uraiani. Wanajeshi wanaoshiriki wanamamlaka kamili ya kazi za polisi kwa lengo la kufanya kazi za kijeshi tu na hawawezi kuvaa mavazi ya polisi.

LAKINI Mkuu ukumbuke kuwa hizi ni sheria zilizoandikwa na suala la utekelezaji wake ni tofauti kabisa. Vigogo wa nchi hii wanatafuna sana pesa za wananchi kwani sheria haziwazuii?

The Listener
Ex Detective
 
Mapolisi wengi nilozungumza nap wanasema wameshachoshwa na ugumu wa maisha yao hivyo wanapopewa kidili cha kudhibiti waandamanaji wanafurahi kwa SBB ya viposho wanavyogawiwa.
Wanasema so kwamba wao hawajui ubovu wa serikali hii wanaujua,wao wapo tu kuganga njaa na wanasema lazima CCM iondoke na wao wataunga mkono.
 
Acha uongo na ushabiki wa kijinga. Soma sheria ya usalama wa taifa ya mwakan1966 kifungu na. 21 na 2
2 ujue ni namna gani wanajeshi wanaitwa kufanyakazi uraiani. Wanajeshi wanaoshiriki wanamamlaka kamili ya kazi za polisi kwa lengo la kufanya kazi za kijeshi tu na hawawezi kuvaa mavazi ya polisi.

Wewe ccm ilipozidiwa mtwara,na Lindi ilimwagiza mwamnyange atume wanajeshi wavae sare za polisi,maana kwa mujibu wa sheria hata kimataifa wanajua ukivaa gwanda la kijeshi utaona.

Hata sasa tunao Askari na wanajeshi marafiki zetu,wanaochoshwa na uonevu,unyanyasaji,wizi wa mali ya umma,ajira za kinasaba na huduma duni za jamii,wametupa habari kuwa,kwa kuwa vijana wa polisi wamezidiwa,wanajeshi kadhaa,wavalishwe sare za polisi kisha waende mzigoni kuwapiga,kuua raia.
Si hao tu,usalama wa Taifa nao wamevaa kipolisi acheni kurukaruka,ipo siku watatoa ya moyoni
 
Kwa hiyo kwa akili yako, polisi ni mbuzi kafara wa matatizo ya ccm? Kwamba siku wajanja wa Chadema wakiingia madarakani neema itashuka ktk nchi hii, polisi watabadilika, na wananchi watapata kila hitajio. Mimi wala sina shida ya siasa. Kinachonisumbua ni mifano hai ya nchi kuvurugika yakatokea ya kuomba arudi bundi wa zamani. Tumeona Libya na Iraq. Kwa jaziba na kukurupuka tunazofanya nina hakika iko siku tutaota kurudi hapa tulipo. Chadema, NCCR, na yeyote si swala langu. Wacha waingie madarakani, isipokuwa kila mtu azuie huu ujinga!
 
Acha uongo na ushabiki wa kijinga. Soma sheria ya usalama wa taifa ya mwakan1966 kifungu na. 21 na 22 ujue ni namna gani wanajeshi wanaitwa kufanyakazi uraiani. Wanajeshi wanaoshiriki wanamamlaka kamili ya kazi za polisi kwa lengo la kufanya kazi za kijeshi tu na hawawezi kuvaa mavazi ya polisi.

haya tuonyeshe na sheria inayoruhusu wanajeshi kufanya kazi za kipolisi kwa kutumia vifaru na magari ya deraya.
 
Kama Mwanajeshi kaonekana kavaa magwanda ya polisina ushahidi upo UNABISHA NINI?. Kawaida ya Tanzania sheria zilizoandikwa hazitumiki ila kiongozi wa nchi ndiye anayeeamua jinsi ya kuitumia sheria. Kwa mfano kukutana hadharani ni haki ya kila mtu na iko kimaandishi kisheria lakini " Polisi sasa wanazuai nini na kwa nini"?. Sheria za TZ siyo msumeno bali zinakata kurudi nyuma(waliko wapinzani, UKAWA, Wanafunzi, Waalimu na minority wengine ) na siyo kwenda mbele waliko( Maandamano na mikutano ya Kinana na Nape wa CCM), Liwalo na Liwe(MKP), mkuu wa Nchi na viongozi wengine) . Ukileta sheria za kwenye vitabu hapa unatupotezea muda
 
haya tuonyeshe na sheria inayoruhusu wanajeshi kufanya kazi za kipolisi kwa kutumia vifaru na magari ya deraya.

Kaka, kunakitu inaitwa minimum force au nguvu sawia ya tishio. Sasa km nhuvu hiyo inaonekanaka kulingana na mizinga au ndege mi sijui, wanasheria wanaweza toa tafsiri mahakamani.
 
Kama Mwanajeshi kaonekana kavaa magwanda ya polisina ushahidi upo UNABISHA NINI?. Kawaida ya Tanzania sheria zilizoandikwa hazitumiki ila kiongozi wa nchi ndiye anayeeamua jinsi ya kuitumia sheria. Kwa mfano kukutana hadharani ni haki ya kila mtu na iko kimaandishi kisheria lakini " Polisi sasa wanazuai nini na kwa nini"?. Sheria za TZ siyo msumeno bali zinakata kurudi nyuma(waliko wapinzani, UKAWA, Wanafunzi, Waalimu na minority wengine ) na siyo kwenda mbele waliko( Maandamano na mikutano ya Kinana na Nape wa CCM), Liwalo na Liwe(MKP), mkuu wa Nchi na viongozi wengine) . Ukileta sheria za kwenye vitabu hapa unatupotezea muda

Nenda mbele kabisa ya hao ma cyborg uwaambie hicho kituko. Ukirudi hata kwa miujiza ya roho njoo hapa utuambie ulichoshuhudia ktk mtungo wako wa liwalo na liwe. Mi niko nyuma ya keyboard na wala sitaki kuona hiyo kitu kwa macho yangu.
 
Mimi nasema hii sasa inasaidia sana wapinzani kujipanga zaidi kuelekea 2015 kuchukua dola watambue ya kwamba hali ya ccm sasa ni mbaya sana utashi wa kufanya siasa za kileo na kistaarabu umekwisha inabidi kufanya Hard politics mara 10 zaidi ya sasa.

Muda wote wa kampeni itakuwa ni maandamano na hotuba kali za kuamsha wananchi na kutaka wananchi wafanye maamuzi sahihi ya kuondoshea mbali utawala huu katili dhidi ya utu.

Pia wahakikishe wananchi wanaelezwa jinsi ambavyo watawala wanapanga kuwajengea hofu sasa na wao wajengewe ujasiri wa kumuondoa mkoloni bila kuangalia kabeba silaha, pesa au sukari.

Dawa ya Mkorofi ni kuwa mkorofi zaidi yake na dawa ya msela ni kuwa msela zaidi
 
Mimi nilijua mpo ktk maandamao kumbe mpo nyuma ya key board zenu mnapost tu. Unajua haya maandamano Mbowe kaandaa kwa ajili yennu mazuzu wake ajabu nyie mnaandika mahali fulani wanaandama wakati yanawahusu nyie wote au nyie miili yenu ishachangamshwa tayari maana pamepita kitambo hamjapata mkong'oto miili inawawasha ajabu mnajifanya kama hayawahusu. Nimemuona Slaa pale Ufipa ila Great Leader Mbowe kenda South Africa anasikilizia mabwege kinavyowaka ni sheeda sijui kenda na pochi yake Mukya!
 
spade4spade anasema eti sheria ya usalama hairuhusu wananjeshi kuvaa nguo za polisi? kwani sheria ya mabadiliko ya katiba 2011 inasema nini kuhusu ukusanyaji wa maoni ya wananchi na nini kinachofanyika bungeni? bmk halina mamlaka ya kukusanya maoni lakini samweli sitta amakusanya maoni kinyume na sheria. kwa tanzania hamna cha kufuata sheria bali ni kanyaga twende
 
Kaka, kunakitu inaitwa minimum force au nguvu sawia ya tishio. Sasa km nhuvu hiyo inaonekanaka kulingana na mizinga au ndege mi sijui, wanasheria wanaweza toa tafsiri mahakamani.
tisho gani? wananchi wa mtwara wana silaha gani mpaka wakatulizwe na vifaru vya kijeshi? nakwambia sisiem iko above the law, inauwezo wa kutumia chombo chochote cha kiusalama kwa manufaa yao haijalishi sheria inasemaje.
 
Leo ndiyo rasmi CHADEMA imetangaza kuanza migomo, maandamano nchi nzima lakini kwa hapa Arusha mjini polisi tangu saa kumi wamejazana sehemu zote ambazo kuna uwezekano CHADEMA wakakusanyika ama kuanzia maandamano yao au kuweka kambi na cha kushangaza nimemuona na rafiki yangu ambaye ni mwanajeshi nae kajaa magwanda ya polisi nikamuuliza vipi siku hizi wewe ni polisi kaniambia hali ni mbaya sana kwa jeshi la polisi wameomba tuwasaidie.Ameomba atanipigia simu kunielezea.
Inabidi mtegemee kuona mambo km hayo na kwa kifup hata macruita waliopo mafunzon nao wanaweza wakawa tayari wameandaliwa kwa kuzima moto wa chadema
:llama::llama::llama::llama::llama: kimbia fanya fasta
 
Back
Top Bottom