Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,801
- 71,226
Tarehe 28 August 1963 yalifanyika maandamano makubwa jijini Washington DC yenye kauli isiyofutika ya Mpigania haki maarufu duniani Martin Luher King Jr isemayo "I have a dream".
Maandamano yale ndio msingi mkubwa wa kutokomeza ubaguzi wa rangi katika Marekani na dunia nzima.
Nimeangalia picha hiyo hapo chini na kufuatilia hotuba za viongozi, hamasa za waandamanaji na kugundua ya kuwa pengine moyoni huyu mwamba Freeman Mbowe naye anajisemea I HAVE A DREAM kuwa kuna siku ukombozi wa kweli utawafikia Watanzania.