ARUSHA: Mwanajeshi wa JWTZ achomwa kisu na kibaka na kufa akiokoa simu iliyoibwa

R.I.P kamanda wetu. Matejo siyo kabisa kuja jamaa yangu anaishi mitaa hiyo sasa kuna siku baada ya kazi kapitia kupata moja ya baridi moja moto.Mida ya saa usiku nda anarudi home vibaka wakamkaba mita chache kutoka home kwake wakachukua kila kitu akabakia na bukta tu .
 
hahahaha wew jamaaa ww mungu akuongezee maisha marefu
Ndio hivyo Ndugu watu Dana negative perceptions kua akiuawa police, Magereza, fire, uhamiaji ni kwa sababu ya kukosa mafunzo bila kuelew kua hata kama una mafunzo gani MTU Mwenye silaha akishajificha akakuweka kwenye target, anakuuwa
 
Hapo washastuana watakaodakwa labda waliofanya tukio na raia watakaodakwa kwenye msako.

Ila leo kitaani hawatakwepo..
Uzur intelejensia ya jeshi ni kubwa sana hawawez kwenda leo nakumbuka kuna moja konda na dereve walimpiga mjeda aisee walikuja watu hao stend yote haikutamanika
 
arusha nlishuhudia mtu akitobolewa kwa visu usoni akawa kama chujio..nlivyoona hivyo mi nligeuka husein bolt gafla..sio salama kabisa arusha yote..
 
sasa inabidi tulishughulikie hili tatzo sisi wenyewe, jeshi ndio taswira ya Uhuru na amani, mazingira ya asikari kuuawa akisaidia RAIA ni sababu tosha ya kuwapa kichapo hawa wacheza kamari
 
Oh Maskini mwanajeshi wetu. RIP. Watu wanaojua wanajeshi JWTZ wanajua wazi ni watu POA SAANA Lakini usiwachokoze. Najua nyie masoja mna uwezo mkubwa sana kiinteligensia. Naomba sasa imefika wakati muisafishe Matejoo yote. Asibaki hata kibaka mmoja. Wahame mji waende Mererani au popote pale
Poleni sana. Sisi Watanzania tunawaheshimu sana nyie JW labda hamjui tu
 
arusha nlishuhudia mtu akitobolewa kwa visu usoni akawa kama chujio..nlivyoona hivyo mi nligeuka husein bolt gafla..sio salama kabisa arusha yote..
hahaa... huku mtaani kwetu mbona salama aisee...siyo Arusha yote...!!!
 
Hawakupiga kitu!??
walibeba haswaaa,sitting room walisafisha haswaaa kasoro sofa seat tu wasingebeba,dingi aliwambia wachukue wanachotaka wasiguse tu watu,yani alikua anapiga nao story tu hapo panga linameremeta kanyooshewa,si alitusimulia walivyoondoka,kwanza nilikuwa uvunguni mwa kitanda,wezi skia tu.kila mtu alitafuta ustaarabu Wake.
 
Back
Top Bottom