cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,801
hizi ndio zile habari mkulu hataki kuzisikia kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Unajua hata maana ya falsafa wewe....??
Haya sasa mpaka umefunguliwa....juh.a, wahed
Habari kama hizi zimekatazwa kabisaNyie mnaripoti habari mbaya tu msifiki mna uhuru huo.
Ukiona wakenya wanamlilia ujue huyo jamaa ni jembe atakuwa amekataa (TKK)Toa Kitu Kidogo....Mkuu kwa hali ilivo hapa mpakani Ni kuwa officers Wa uhamiaji Kenya wanalalamika kuwa officer Mkuu Wa uhamiaji upande wa Tanzania mpakani ndo, amekuwa tatizo hapo mpakani na ndo chanzo kwani amekuwa akiwakandamiza wakenya,
Upande WA Tanzania hata Picha huruhusiwi kupiga na ukipiga unakamatwa
Yap, Mkuu kwa wenzetu Kenya wako vzur sana barrier zisizo na msingi hawaziendekezi na hiyo imewabust sana kiuchumi, hatukatai swala LA security ya nchi lakni maswala ya border yanatakiwa yaendeshwe kidiplomasia zaidi maana kwenye border ndipo tunapopata hata jamii zinazoishi nchi zote mbili(tukumbuke kua nyingi ya hizi border ziliwekwa na mkoloni bila kuzingatia matakwa ya jamii husika)Ukiingia Kenya kwa Mipaka yote iwe Lungalunga,Taveta,Loitoktok, Namanga au Isebania unaenda kilometre zaidi ya Kumi ndio utakuta Barrier uulizwe Passport ama kitambulisho. Sasa Tanzania unataka hata mtu akiwa Nomans land awe na kibali
Mkuu hataki hizi habari ujue, hakuna mazuri huko namanga hadi uandike haya?Chochote kitakachojiri nitaleta taarifa