Arusha mbarikiwe sana

Aiseeeeee!!!!!!! Jamani hii bahati imenipitaje jamani? Dah! wacha nijilaumu mwenyewe! YNNAH, next time let us know ujio wako bana, umemiss vichwa aisee!
yani jilaumu sana, ila nilisema jamani kuwa nakuja Arusha. pole kwa kunikosa Mungi
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmhh! Yani umekuja na umetutenga?

Hongera sana!

Lakini haujatutenda haki hata kidogo!
mimi sijamtenga mtu jamani ila wewe ndio umenitenga kwani mimi nilitoa bandiko kabisa jamani, ila usijali kwa ukarimu wenu lazima nitakuja tena
 
Asante sana YNNAH salamu zimefika naomba uwakaribishe wengine waambie chunga tunawakaribisha sana.
Karibu sana.
Ahsante sana yani nimefarijika sana , nilitamani kuendelea kuwepo Arusha ila majukumu Erickb52
 
Last edited by a moderator:
sasa hawa wageni sikuhizi wanapokelewa kindugu au mbona hii taarifa mie muhudumu wa vinywaji sijapata ila tunashukuru umeridhika kwa huduma uliyopata
yani mbarikiwe sana , next time tutaonana tu mkuu
 
Back
Top Bottom