Chadema wenyewe wanamuita Mbuzi wa Kafara, ngoja tune kama Mbuzi atachinjwa au La!Lema na siasa za mahakama...!!!! inaonyesha kamati ya siasa ndani ya chama ineshinda kubuni mbinu stahiki za kupambana na serikali iliyo madarakani
Kipi kinaendelea mkuu???Mabishano makali ya Kisheria yanaendelea kati ya mawakili wa Lema na wakili wa Serikali
Waambie aise tatizo lao shule mzeePolisi wetu watende haki kwa watu wote. Wasijipendekeze kwa watawala, mtadharaulika. RC Makonda kamdhalilisha KAMISHNA wa polisi, kamanda Sirro kwa kumtuhumu hadharani kwa rushwa. Polisi tekelezeni kazi zenu kwa weledi,wanasiasa hawaaminiki
Chadema wenyewe wanamuita Mbuzi wa Kafara, ngoja tune kama Mbuzi atachinjwa au La!
Acha uchonganishi wewe. Mkuu wa mkoa na RPC wote wanafatekeleza majukumu yao vizuriPolisi wetu watende haki kwa watu wote. Wasijipendekeze kwa watawala, mtadharaulika. RC Makonda kamdhalilisha KAMISHNA wa polisi, kamanda Sirro kwa kumtuhumu hadharani kwa rushwa. Polisi tekelezeni kazi zenu kwa weledi,wanasiasa hawaaminiki
Nimekupenda bure tena staki hata miaMkuu Francis 12 , Mungu akulipe bando lako kwa wema unaotufanyia kutokana na kuchukua muda wako wote KUIJULISHA DUNIA yanayojili Arusha ukishirikiana na CNN INTERNATIONAL .
Tupe Maendeleo ya kesi inaendeleajeHakimu anaanza kutoa hitimisho
Yaani hakimu anafahamu kuwa wale wanaozuiwa nje ya mahakama wamekwenda kusikiliza kesi ya Lema na hivyo kutoa amri? Labda uwasilishaji ndio mgumu, Napata shida kufahamu hakimu anapata wapi mamlaka ya mambo yanayotokea nje ya korti yake. Kama kuna jambo linalotokea ndani ya korti yake hapo sawa. Nje ya korti? Sijui labda! Mwenye kufahamukwa hakika hakimu aliamuru nini tafadhali anijuze.
Wewe una shule zaidi ya askari polisi wote!!Waambie aise tatizo lao shule mzee
Hapo ni Lema akipigania uhuru koko.Mcheki
siamini kama kauli hii inatoka kwa miongoni mwa wanamama mliojizolea sifa, umaarufu na heshima za kutosha humu JF..Hakimu alifunge jeshi la polisi.
Daaaaaah ipo siku lakini haya manyanyaso yatafikia tu mwisho,Dhamana ya mtu ni haki yake lakini kwa Lema imekuwa ni vikwazo visivyoeleweka,Na mahakama zetu sijui kama zipo kweli huru.Kesi ya jinai no 440, 441 inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema imearishwa hadi Tarehe 21-11-2016 siku ya jumanne
Hivyo basi Mh Mbunge kurudishwa tena Magereza.