Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,512
- 40,616
Fursa hiyo; nipo tayari kuwa naye karibu nihakikishe wakulungwa wa A town hawamsumbui mremboTangu lini upo Arusha mzee wa mademu😂😂😂
Fursa hiyo; nipo tayari kuwa naye karibu nihakikishe wakulungwa wa A town hawamsumbui mremboTangu lini upo Arusha mzee wa mademu😂😂😂
Kwani ni mrembo mkuu?Fursa hiyo; nipo tayari kuwa naye karibu nihakikishe wakulungwa wa A town hawamsumbui mrembo
Nahisi; kama ni dume akapambane na hali yakeKwani ni mrembo mkuu?
Ogopa mteremko bablai tena kaa mbali ohoo😂😂Nahisi; kama ni dume akapambane na hali yake
Kama atafanana kama wale wa kwenye uzi wa 'pisi kali'; aonyeshe tu nia, kuhusu nauli na mengineyo atatumiwa; muhimu ni kuruhusu mwili tu uje a townOgopa mteremko bablai tena kaa mbali ohoo😂😂
Unapenda CHUDUZ sana mkuu😂😂😂Wenyeji tupo
Mzee wa chuduz katika ubora wako😅😅😅Kama atafanana kama wale wa kwenye uzi wa 'pisi kali'; aonyeshe tu nia, kuhusu nauli na mengineyo atatumiwa; muhimu ni kuruhusu mwili tu uje a town
Kila binadamu anapenda vitu vizuri, tatizo ni mawe tu; ningekuwa powa, sasa hivi ningekuwa Colombia, kesho Cuba, kesho kutwa Philipine; yote ni kutafuta pisi kaliUnapenda CHUDUZ sana mkuu😂😂😂
Mkuu, wewe huwapendi?Mzee wa chuduz katika ubora wako😅😅😅
Napenda kwa utaratibu mkuu, siwezi kuparamia kila dudu kijana, hapanaMkuu, wewe huwapendi?
Mpeleke pale mahalaInategemea na mahitaji yako mkuu.
Lodge/hotel kwa 60k ni sehemu sio mbaya.
Matumizi au matanuzi kwa siku ukijiwekea 60k yaani transport na chakula pia sio mbaya.
120k/day nafikiri utafurahia
Hujakutana na totoz, kuna totoz ukikutana naye hadi ubongo unacheza ghaflaNapenda kwa utaratibu mkuu, siwezi kuparamia kila dudu kijana, hapana
Utaniambia nini kwa umri huu kijana.Hujakutana na totoz, kuna totoz ukikutana naye hadi ubongo unacheza ghafla
Hajataka msaada wangu mamii, kwa umri huu nidakie ugeni usio nihusu?Kama mgeni G
Nayo ni kitu ya kuuliza kweli
Hajataka msaada wangu mamii, kwa umri huu nidakie ugeni usio nihusu?
Kweli?
Unanichora ujue
Hebu nijuze, Boardroom wamerudi mujini?Kama mgeni G
Nayo ni kitu ya kuuliza kweli
Huna baya Maki
Basi nisamehe...
UsinikumbusheHebu nijuze, Boardroom wamerudi mujini?