Arusha Elerai: Polisi wawakamata raia kwa muda na kuwaachia

Wapo kwenye OPERESHENI MAALUM ya kuiongezea chadema wafuasi kwa kusaidia wananchi kuichukia policcmn ccm kwa ujumla. Wanawaudhi hata wale wachache waliobaki ccm. Ndugu zangu wawili waliokuwa ving'ang'anizi kwa ccm ndugu zao wamekamatwa na wao wamebadilisha msimamo ghafla nashangaa wanatukana tena serikali. Duuh makubwa!!!
 
ukiona watu wanaogopa operesheni ujue siyo wazuri, hongera sana Jeshi la polisi kwa juhudi zenu za kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani
Unataka kumaanisha kwamba kampeni za uchaguzi zinahatarisha amani? Au kuna kitu kingine kinaendelea?
 
ukiona watu wanaogopa operesheni ujue siyo wazuri, hongera sana Jeshi la polisi kwa juhudi zenu za kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani
Kama sio wazuri mbona wamewaachia,ni wapi umesikia wamefanya vurugu..
 
Hapo ni ki2uo kidogo cha
polisi bauda .
Mbunge wa arusha mjini
na makamanda zaidi ya
100 tumekwenda
kushinikiza vijana 75
ambao ni wapiga kura
kukatwa na polisi bila
sababu siku mbili kabla
ya uchaguzi .
Polisi wamekuwa
wakikamata vijana
katika kata zote kwa nia
ya kupunguza wapiga
kura.
Vijana wote
wameachiliwa muda huu
 

Attachments

  • 1008207_510203069033289_1335001515_o.jpg
    1008207_510203069033289_1335001515_o.jpg
    76.1 KB · Views: 121
ukiona watu wanaogopa operesheni ujue siyo wazuri, hongera sana Jeshi la polisi kwa juhudi zenu za kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani

Kwanza Polisi makini anakamata mhalifu akiwa na uhakika baada ya kufanya upelelezi makini! Kisha ukamataji wakati wa kampeni kwa kisingizio cha intelijensia ni upuuzi, lengo haliwezi kuwa jingine bali la kuwanyamazisha,ni la kisiasa.

Wengi wenu mnakubaliana na uharamia huu ni kuwa mnatumika au ndio nyie mnaowatuma polisi kuacha kazi zao kitaalamu na kuwashinikiza wafanye matakwa yenu. mamlaka haya mnayoyafanya hayajatoka kwa mungu na ndio maana siku zote mtashindwa.
 
quote_icon.png
By thatha
ukiona watu wanaogopa operesheni ujue siyo wazuri, hongera sana Jeshi la polisi kwa juhudi zenu za kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani"

MUDA SI MREFU MTASEMA CHAGUZI ZINALETA FUJO TUSIFANYE MAANA MNAONA NJIA YENU YA KUTOKEA I KARIBU. MAGAMBA KWISHA KABISA.
 
ku.m.a.m.a.e zao!was...en..ge sana mafailure hao!nawatavaa sana chupi kimoja hadi mwisho wadunia!mbwa wakubwa policcm hao!yaan akili zao kama kuku........
 
Back
Top Bottom