Arusha: Anywa sumu akiwa kituo cha polisi na kufariki dunia

Madini, mke, kaondoka, makazi ni FFU, alimtuhumu mke anatoka nje ya ndoa, ni mfanya biashara na mchimbaji, kanywa sumu kituoni?????

Hakuna mgumu wa kwenye madini anayekata tamaa kizembe hivyo na kunywa sumu aache huku nyuma watu asiowaamini....

Kuna zaidi ya hii hadithi...
100%
 
Hii haipaswi kutokea.
Kufanya mapenzi na mke wa mtu siyo kosa. Ila usifanye mapenzi na make was mtu kinyume cha maumbile.( Hapo nimemnukuu Buddha.)
Ndio Buddha alivyosema( unless someone was tampering with the [ Buddhist] scriptures).
Hii haipaswi kutokea. "My people are perishing for lack of knowledge".
Niliwapita vijana siku moja wamekaa kijiweni wanaelezana:"The people are perishing for lack of knowledge."
 
Dogo aliona bora yaishe kuliko kuendelea

Watu wa Arusha wanaongoza sana kwa hisiaaa -- akishapachika kitu moyoni ni ngumu kukiondosha

Tupende wenza 60%, 10% ndugu na 30 % jipende mwenyewe
48yrs eti dogo..! hii nchi sihami haki ya mama
 
Kijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha.

Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa akifanya kazi migodini ya uchimbaji wa Madini alikuwa na mgogoro wa kifamilia yeye na. Mke wake baada ya kutuhumu Mkewe kuwa na mahusiano nje ya ndoa na baada ya muda mke kuamua kuondoka na kwenda kuishi Mwenyewe na kwenda kuripoti polisi kuwa mumewe anamtishia na silaha.

Chinga alipigiwa simu na polisi akiwa kwenye mazishi ya kaka yake huko moshi Kilimanjaro Juu ya kwenda kuripoti kituoni.

Baada ya kurejea kutoka msibani Na kwenda kuripoti polisi Akiwa kituoni yalitokea mabishano kati yake yeye na Polisi na hivyo kuamua Kunywa sumu akiwa kituoni na kufariki dunia akipelekwa kituo Cha Afya Murieti.
Mwili wa marehemu Chinga umesafirishwa kwenda kuzikwa kwao Machame mkoani Kilimanjaro.

Balozi wa mtaa huo ndugu Yahaya Abbasi amesema yeye hajawahi kuletewa Mashitaka yoyote kuhusiana na mgogoro wa kifamilia katika familia hiyo.

Mwenyekiti wa mtaa wa FFU BI Veronica Guta Amethibitisha kutokea Kwa tukio hilo hilo katika mtaa wake.
Down with a crack inawatesa sana vijana wenzangu
 
I smell foul play
 
Back
Top Bottom