ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,076
- 49,785
Mwanamke mmja huko Arusha amejifungua Watoto Mapacha wanne wa kiume ikiwa ni uzao wake wa pili.
Mwanamke huyo ameomba Msaada Kwa Wasamalia wema Kwa kile alichodai kwamba yeye na mume wake Wana maisha magumu hivyo kulea Watoto 4 Kwa pamoja itakuwa Changamoto.
Hima Wasamalia wema jitokezeni kutoa Msaada.
View: https://youtu.be/lymrZW86Idc?si=wn2YH47tkXps9t2w
Swali.
Inakuaje watu Maskini ndio Huwa wanapata na baraka za namna hii? Mbona wenye uwezo sijawahi sikia haya mambo yakiwatokea?
Hongera kwako mama vichanga,napenda sana Mapacha ila ndio siwapati.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1730329227105308773?t=r0tUnoh4SZvfg8_cqfKuaQ&s=19