DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Tumekuwa 'bila mbunge' muda mrefu sisi wakazi wa meru_Tukumbushane:TALALA MBISE =kazi yake kubwa ni jusinzia bungeni miaka ya 90. JERY SUMARY:alipewa na Lowassa kiukwe na kupewa unaibu wizara ya fedha nafasi ambayo hakuimudu, na pia ilimfanya atokomee mbali na jimbo.MWAKA JUZI wameru tukavote mbuzi ktk gunia.
Safari hii ccm wasitulaumu kwani kibaya zaidi wanatuletea kijana wa mbunge ambaye hajatuletea maendeleo.KWA HILI ni kutudhalilisha kana kwamba sisi hatujazaa vijana wengine.
Tunamwambia KITOI arudi kwake monduli asituletee mkwe wake alieshiba kama yeye.SIOI WAMERU TUNAAPA KUWA HUPATI UBUNGE KWANI KTK UKOO WENU BABAKO TAYARI ALISHAPATA NA AKASHINDWA KUTUSAIDIA