Arteta ameanza kukua kimpira amebakisha vitu vichache awe kocha bora

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,999
8,386
Nimeiangalia arsenal ikiwa chini ya arteta kwa misimu kadhaa

Mpaka msimu wa mwaka jana alikuwa anacheza mpira wa kivulana sana/mpira usio na malengo

Ila msimu huu ameongoza kitu
Na amebadilika sana

Kusema kweli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

The guy is working hard to be best football coach and I start like him

Ningependa arteta ashinde taji msimu huu ila kikwazo chake kitakuwa manchester city

Baada ya Alonso kujipata km kocha elite anayekuja angalau na arteta has something
 
Ana tatizo la presha!

Game ya liver na city ikiwa droo tu, pressure ya Arsenal itakua kubwa akienda etihad!

Najua mancity hatofanya kosa zaidi ya kumfunga Arsenal!!!!

Mwaka huu ubingwa utaamuliwa na bahati TU,sio uwezo coz timu zote zinalingana kiuwezo !!

Arteta alipaswa msimu huu achukue lakini naona kama bahati inambeba Liverpool vile na vitoto vyake vya mchongo!!
 
Ngoja tuone matokeo ya Leo.
 
kama game ya jana walijitadi kidogo kuwa direct ubaya ni kwamba kuna uwezekano leo city akapigwa pale anifield na wew mechi ijayo ukaenda kubamizwa ETIHAD nafasi ya mbio za Ubigwa bado ipo kwa City na livepoor
 
Leo droo tu,klopp ana ujinga mwingi Kuna vikosi Huwa anapanga Hadi unajiuliza maswali mengi!

Utashangaa Leo Nunez au szobozlai anawekwa benchi badala ya wote kuanza!!

Sasa unamuweka gakpo,elliot hivi wanauwezo was ku win battle na midfielders was city!!?

Weka macalister Endo na szobozlai katikati,Mo sala, Nunez na diaz mbele,hafufu kemea Diaz aache uchoyo Kwa nunez,Diaz ana ka wivu fulani ka kibongo bongo!!

Macalister namwaminia,endo good tackler, szobozlai good ball carrier!Nunez good shooter at Any angle,Salah tormenter and Diaz pace maker!!

Kama una bet weka G:G!!!
Ngoja tuone matokeo ya Leo.
 
Nimeiangalia arsenal ikiwa chini ya arteta kwa misimu kadhaa

Mpaka msimu wa mwaka jana alikuwa anacheza mpira wa kivulana sana/mpira usio na malengo

Ila msimu huu ameongoza kitu
Na amebadilika sana

Kusema kweli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

The guy is working hard to be best football coach and I start like him

Ningependa arteta ashinde taji msimu huu ila kikwazo chake kitakuwa manchester city

Baada ya Alonso kujipata km kocha elite anayekuja angalau na arteta has something
Arteta amejipata siku Mingii, ni wewe tu ulikua humuamini
 
Arteta anakosa psychological strength!

Hebu cheki anavyoshangilia anapoifunga lfc isiyo na mo Salah Wala endo.pale Emirates Tena Kwa makosa ya vandyke,ona Jana dhidi ya Brentford tia tia maji!!

Hana uwezo was kukabili pressure!!Bado na game dhidi ya city, Chelsea na man UTD utaona pressure itakuaje kwake!!
 
Alonso kule Bayer Leverkusen anaogopa kuja EPL kwasababu ya uwepo wa Arteta na Guardiola, kama Arteta angekuwa ujerumani angeshachukua ubingwa wao bahati mbaya Guardiola ameamua kujimilikisha ule ubingwa.

Naamini Klopp akiondoka, bila kujali kocha yupi atakuja kuchukua nafasi yake, na Guardiola msimu ujao akiondoka (naamini msimu ujao ndio wa mwisho kwake) Arteta anaenda kujimilikisha utawala wa EPL.
 
Kukosa psychological strength inaweza kuwa ni kwasababu ya uchanga wake kwenye kazi, lakini hiyo sio sababu ya kutokubali kile anachofanya Arteta, jamaa yuko vizuri sana ametengeneza kikosi kinaupiga wakutosha
 
Mimi kama shabiki wa City,nakwambia hivi,pale epl tunayemwogopa ni Arsenal tu,huyu Liverpool wala hatuna wasiwasi nae
 
Alonso kule Bayer Leverkusen anaogopa kuja EPL kwasababu ya uwepo wa Arteta na Guardiola, kama Arteta angekuwa ujerumani angeshachukua ubingwa wao bahati mbaya Guardiola ameamua kujimilikisha ule ubingwa.

Naamini Klopp akiondoka, bila kujali kocha yupi atakuja kuchukua nafasi yake, na Guardiola msimu ujao akiondoka (naamini msimu ujao ndio wa mwisho kwake) Arteta anaenda kujimilikisha utawala wa EPL.
Mimi nadhani 10hag ndo atajimilikisha.
 
Back
Top Bottom