Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,233
Southampton itakuwa shughuli next round...
Mkuu usiwe na shaka waliyusumbua misimu miwili iliyopita prof atafanya kweli .... ..... ... Ding ... Dong. Le Prof hajawahi kuchukua hiki kikombe cha mbuzi ...... nachikia Manure tayari wamepta tumbo la kuharisha baada ya kupangiwa West Ham.