Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyo wenger ni ****** barid tena shoga LA Guantanamo hawez tuletea usenge kama huu miaka nenda rudii whufc wamepeleka £35 wamekataliwa Kwahiyo yeye anajikuta mentali Yani very stupid huyu mzee Af anaupdate kua ataspend big this summer very stupid
Mkuu West ham walipeleka milion 40 £ waka kataliwa mwezi ulo pita

Yeye katinga mwez huu na £35 m
Hahahaha
 
West ham wali-bid £32m sasa huyu mzee anafanya watu majuha anakwenda yeye na dau dogo zaidi £29.3m akitegemea nini sijui!?
Lyon wamesimamia £40m plus bonuses,ni kama anacheza na akili za watu,tazama waliojipanga tayari wameshafanya usajili wa maana yeye anasubiri dakika za majeruhi kiasi hata kama akifika dau timu inakataa kuuza kwa sababu hakuna muda au wachezaji wa maana wamekwisha sokoni,huyu ndio mzee wa "We were very close to a major signing" kuna watu wanasema...

"Wenger is known as the Professor, but over the past decade he has stopped professing. He, along with the club he controls, have grown stagnant. Never before has that been as obvious as it is this summer".
 
Hata hivyo kama nilivyosema hapo mchana kwamba Lacazette hakuwa prime target wao wana prime target yao ambayo pengine ina dau dogo zaidi.

Sababu ni kwamba hiyo itakuwa cover kwa Girud na ukizingatia Theo Walcott nae yupo pia.

Hivyo wanatumia kila aina ya uhuni na mwenzie Gazidis kutaka kuchezea akili zetu wana gunners.
Giroud, Theo Walcott........Same Old story. Poor Arsené, Poor Arsenal..!!
 
..Hiyo ndio transfer policy ya arsenal, mnamlaumu mzee Wenger bila sababu

Arsenal cannot "outgun" their big-spending rivals in the transfer market, says chief executive Ivan Gazidis.

The club have made one major signing this summer, buying Granit Xhaka from Borussia Monchengladbach for £35m.

"We can't afford to outgun competitors that have far more money. We have to be very careful, very selective," Gazidis told the New York Times.

The 51-year-old reiterated his support for manager Arsene Wenger, denying it is based on a "sense of nostalgia".

Wenger has overseen 20 consecutive top-four finishes in the Premier League, but the last of his three league titles came in 2004. Some supporters protested at the end of last season,calling for a change in manager.

Alexandre Lacazette scored 21 goals in 34 league games for Lyon last season. Olivier Giroud, Arsenal's top-scorer in the Premier League, managed 16.

The Frenchman insisted that the club would "add what we missed" during the transfer window to close the 10-point gap to champions Leicester, but his pursuit of France forward Alexandre Lacazette so far has been frustrated with Lyon turning down a £29.3m offer.

Arsenal were the only club in Europe's top five leagues not to buy an outfield player in last season's summer transfer window. Goalkeeper Petr Cech, signed for £10m, was the only arrival, despite the club having almost £200m in cash reserves.

But Gazidis - who spoke of "an escalation in our financial firepower" in 2013 - claims that the Premier League's large and relatively evenly-shared television deal means money is less decisive than it was.

"The constraints within the Premier League are less and less about pure finances. More relatively important become things like how well you identify players, how well you develop players, what kind of sports science you have, your analytics, your psychology," he added.

"All of these support areas around what we do increasingly become bigger differentiators
 
Usajili Updates: Wenger asema suala la usajili ni siri.

Msalheer wakuu,

Leo meneja amesema suala la usajili ni siri na Arsenal watakaposajili mchezaji watatangaza.

Ifuatayo ni taarifa yake kwa vyombo vya habari:

WENGER KEEPING PLANS SECRET

Arsene Wenger does not plan to reveal Arsenal's transfer plans after Lyon claimed yesterday that they rejected an offer from the Gunners for Alexandre Lacazette.

"Lyon are responsible for their own statements," said Wenger. "On the transfer front, I think the best [option] is always to keep it as secret as possible. If we sign somebody, we will announce it. But I cannot tell you much more on that."

Wakati huohuo, akiongea na gazeti la New York Times la Marekani, Afisa mtendaj mkuu wa klabu ya Arsenal Ivan Gazidis amedai kwamba Arsenal hawawezi kushindana na timu zingine katika kufanya usajili wenye fedha nyingi.

_90528341_gazidis_rex.jpg

Ivan Gazidis afisa mtendaji mkuu wa Arsenal tangu 2009

Aliendelea kwa kusema:

"We can't afford to outgun competitors that have far more money. We have to be very careful, very selective,"

Arsenal inaaminiwa kuwa na kiasi cha pauni milioni 200 zikiwa ni akiba yake ya fedha ambazo haziguswi.

Hata hivyo Arsenal tayari mapema kabla ya dirisha la usajili kufunguliwa walimsajili Granit Xhaka kutoka timu ya Borussia Monchengladbach kwa gharama ya pauni milioni 35.

Mpaka sasa nyuma ya pazia Arsenal wanahangaika kumsajili Alexandra Lacazette na inasemwa wameongeza offer ya pauni milioni 40.

Pia Arsenal imebidi waingie tena dirishani kutafuta beki wa kuziba nafasi ya Per Mertesacker ambae ameumia goti na atakaa nje kwa miezi Zaidi ya mitano.

Tusubiri kuona Arsenal mwaka huu wakipigwa vikumbo na timu zingine kama Man City ambao mpaka hivi sasa wanafnya mazungumzo na wachezaji watatu kuwasajili.

Wachezaji hao ni Leroy Sane, Gabriel Jesus na Marlos Moreno.

Wenger vunja benki wewe mzee!

COYGs!

Chanzo cha habari: New York Times
 
Hadi huruma

Wazungu wametumia neno baya sana kwa mzee Wenger kwa kumwambia ana hali ya "Nostalgia".

Nostalgia ni hali ya mtu kuwa ametengwa na mara zote anakuwa ni mtu alie mpweke na asie na uwezo wa kuzungumza kitu akasikilizwa.

Lakini Arsene Wenger ni "architech of his own downfall" ukizingatia kwamba anajaribu kushindana na hizi timu zingine ambazo kwa kweli hadi sasa zime-improve kupita maelezo.

Mtu una cash reserve ya pauni milioni 200 acha "generated income" ya pembeni inayotokana na deals na revenues zingine halafu unajiulizauliza kweli?

Ukiondoa Man City timu za Tottenham na West Ham ni timu ambazo ni tishio kwa Arsenal na wasipoangalia msimu ujao Arsenal watakuwa na hali mbaya sana.

Mtu umekwishasema utasajili wachezaji fulani kuimarisha na kuiboresha timu yako na ukadai utasajili , mshambuliaji, kiungo na beki.

Amefanya usajili wa Xhaka lakini tena anakwenda kumsajili Rob Holding anamwacha Kostas Manolas, anakwenda kumsajili Takuma Asano anaachwa kuwasajili Higuain au Icardi.

Na sasa amezungumza na wawakilishi wa Mahrez na Lacazette lakini anagoma kukubaliana na ukweli kuwa ukitaka kizuri ni lazima ukigharamie.

Huyu mzee anatusumbua hata wale maskauti ambao usiku na mchana tupo around tukitafuta talents.

Wenger sajili Maherz, Lacazette na beki muda umekwenda.
 
mkuu,kumbe wewe ni skauti wa arsenal???kuwa basi mzalendo wapendekezee hata Mbwana Samatta
 
Wenger ana matatizo makubwa sana ya kisaikolojia..Anajua forward wa maana kwa sasa ni bei kubwa...Anasubiri siku 2 kabla dirisha kufungwa alete magalasa
Nasubiri tugombee big4 kama kawaida yetu na ikiwezekana sanchez agome na ozil agome yani timu ifanye mgome baridi
 
Usajili Updates:

Arsenal wapindua meza Real Madrid wanamtaka Jese Rodriguez

jese%20rodriguez_630x436.jpg

Jese Rodriguez

Klabu ya Arsenal jioni hii wameingia Real Madrid na kuweka mezani pauni 25 milioni kwa mshambuliaji wa timu hiyo Jese Rodriguez.

Rodriguez alikwishaambiwa na meneja Zinedine Zidane kwamba hayumo kwenye mipango yake ya kikosi kamili cha timu hiyo.

Baada ya kuambiwa hivyo Jese akaiomba Madrid kumruhusu ahamie timu zingine ili kutafuta kucheza kwenye first eleven.

Ikiwa jese atakubali offer hiyo basi mazungumzo yataanza usiku huu.

Timu ya Liverpool pia nao wameweka offer yao ambayo inasemwa kuwa ni ndogo kulinganisha na offer ya Arsenal.

Habari zaidi kufuatia katika kipindi hiki cha mtafutanoi katika dirisha la usajili barani Ulaya.

Stay Tuned.
 
Usajili Updates:

Arsenal wapindua meza Real Madrid wanamtaka Jese Rodriguez

jese%20rodriguez_630x436.jpg

Jese Rodriguez

Klabu ya Arsenal jioni hii wameingia Real Madrid na kuweka mezani pauni 25 milioni kwa mshambuliaji wa timu hiyo Jese Rodriguez.

Rodriguez alikwishaambiwa na meneja Zinedine Zidane kwamba hayumo kwenye mipango yake ya kikosi kamili cha timu hiyo.

Ikiwa jese atakubali offer hiyo basi mazungumzo yataanza usiku huu.

Timu ya Liverpool pia nao wameweka offer yao ambayo inasemwa kuwa ni ndogo kulinganisha na offer ya Arsenal.

Habari zaidi kufuatia katika kipindi hiki cha mtafutanoi katika dirisha la usajili barani Ulaya.

Stay Tuned.
Vichekesho vya ali ya juu mi nshapoteza matumaini nasubiri muda wa movie niingie zangu movie na hiki kiwinter top 4 itatuhusu
 
Back
Top Bottom