Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nikija humu, naonekana mpiga kelele...nisipokuja naonekana nakimbia, nimekua kimya....

Kwani umependa kuwa kimya?? Hakika hujapenda maana kila siku unaombea Gunners wafungwe ili utiririke humu ndani but inashindikana.
Hahahahahaha Hatari saana aisee.
 
Anajipa matumaini huyo, alisema mwezi wa 12 mwaka jana tutakuwa nafasi ya 5. Lakini aibu kwake bado tupo kileleni.

we muache huyu Mnyantuzyu na leo lazima Gunners tuongeze gape la 4 kama siyo la point 5 kabisa.
 
nyie ndio wazee wa kujifinya darin na kuchungilia ka panya wanaposikilizia Paka yupo sehemu gani maana mkifungwa tu mnapotea wiki nzima.


Wewe Pierre Yani Wewe usikae mbali Leo!

Njoo uone dozi anayopewa Man Utd!

Alafu tunakusubiri na Wewe ukija Darajani Lazima tukunyonge!
 
Wewe Pierre Yani Wewe usikae mbali Leo!

Njoo uone dozi anayopewa Man Utd!

Alafu tunakusubiri na Wewe ukija Darajani Lazima tukunyonge!

Daraja lilishabaki la makuti lile yaani kuribomoa unatumia kisu hauuhitaji kombora wala bom.
 
That's Bully with Scezney shirt, jamaa ana deserve hii jezi anasapoti team, anaenda kila game home away Europe anaenda. True Gunner BULLY.
 
Give Wenger 10 years contract. I don't want to see us becoming Man utd. By the looks of things the league will be decided between City and Chelsea. Though I want us to win it, I don't see us keeping up the winning streak up to May.
 
Ili kuweka kumbukumbu sahihi: Msimu huu 2013/2014 timu ya Manchester United haijaifunga Chelsea FC. Lakini timu hiyo ya Mwanitesa Unite imefanikiwa kuifunga Arsenal Fc. Ajabu ni kwamba mechi ya kwanza Arsenal 0 - 0 Chelsea; marudiano itakuwa kama ilivyokuwa jana. Points za ubingwa wetu wanazo Arsenal na City: Tutazichukua na kuongoza ligi hadi mwisho.
rockcity Native Balantanda Piere. Fm Katavi Ulimakafu Sizinga mfarisayo gutierez

Bado mmejificha darini Wakuu? Mtainua ndoo safari hii?

Au Mtainua ndoo ya Maji?

Kwi Kwi Kwi Kwi

Chezea Jose Mourinho Wewe!
 
Back
Top Bottom