Ariel sharoon

kuzou

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
200
57
HUYu waziri mkuu wa zamani wa israel toka nisikie anapumulia mashine na kuuacha uwaziri mkuu kwa naibu wake olmert sijasikia kafa au mzima,nijulisheni
 
Bado anapumulia mashini. Malipo ni hapa hapa duniani. Ukatili aliowafanyia Wapalestina katika kambi za Shatila ulimwengu hautasahau.
 
Bado anapumulia
machine bhanaa
hivi ni usishi au?
Kwanini hawazimi hizo
mashine akarest in pis
long time asee umri wa mtu kabisa
 
Back
Top Bottom