Arab League Suspends Syria.

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,317
11,181
The Arab League has suspended Syrian activities within the bloc until President Bashar al-Assad implements an Arab deal to end violence against anti-government protesters.

In a statement read in Cairo on Saturday by Sheikh Hamad Bin Jassem al-Thani, Qatari prime minister, the league said it will "suspend Syrian delegations' activities in Arab League meetings" and implement "economic and political sanctions against the Syrian government".

The Arab League also called on its member states to withdraw their ambassadors from Damascus and threatened to recognise the Syrian National Council if Syria does not refrain from the "continued killing" of civilians.

ALJAZEERA
 
Mimi nilifikiri bado wanakumbuka aibu yao ya endorse no fly zone kwa Libya hatimae ikageuka na kuwa kitu kingine!.Sijapata kuona watu vibaraka kama viongozi wa waarabu .
 
"Instead of cursing the darkness light a candle" - Benjamin Franklin
 
Lazima Asad watamgadafi tu kwa yale maovu anayowatendea watu wa Homs walaah wakimpata hawatamuacha lazima na kijiti ma****ni watamwingiza
 
Ami, long time no see. Huyo jamaa anayevutwa shati kwenye avatar yako ndo wewe au?
Huyo unayemuona kwenye Avataar yangu ndiye mimi mwenyewe.
Mbona wewe nakuona kila jukwaa ninaloingia.Kwa sababu wewe unakula humu humu ndio maana hutoki nje kama sisi wenzako.
Hapo juu ni siku nilipokumbana na hao vijana wa Obama nikitokea kwenye genge langu.
 
Back
Top Bottom