APR Imehujumiwa. Tukitaka kuendelea kisoka, Watanzania tuache hizi tabia

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,239
4,061
Simba SC kesho mnatoka, unless na nyie mfanye hujuma.

Mbaya sana Mpira wa Africa.

APR imehujumiwa magoli ya wazi kupitia offside za mchongo.

Kwa tabia hii hatukuzi soka la Tanzania Bali tunadumaza soka. Najiuliza kwa nini soka la ZNZ halikui pamoja kuwa ZNZ inavipaji sana kama vile the finest Zanzibar , Fei Salim Feisal toto aka Macho Ozil.

Nadhan ZNZ walikusudia lazima timu moja from zanjiberi ifike fainali which is bad kwa kulazimisha.

Kocha wa APR pia amekiri kwenye TV vyombo vya habari kuwa Mlandege imeshinda madhuluma.

Sisi, Dar Young Africans. tuliona mapema haya ndio maana TUMEWAACHIA. Lakini hakuna timu inatuweza hapo hata moja na wote mnajua hilo

Pamoja na yote, ninaiombea SINGIDA BIG STARS kesho wawe na siku nzuri ili hawa wawashamoto kesho ndio iwe mwisho wao

Imani Yangu ipo kwa Yanga na Singida Big Stars kesho.

Singida kuweni makini makolo wanahonga sana waamuzi, pia kuweni makini na sehemu za kubadili nguo
 
Tuheshimianee dhambi za Zanzibar usitubebeshe WaTanganyikaTg ndo Brazil ya Africa saivi google.

Nchi ni moja. Wao wazanzibari nyie wazanzibara na wote mtalala chini ya Ardhi

Kama ni kujifaharisha, jifaharishe kwa Udongo na Maji, ndio asili yenu

Na wajinga wote ni maadui wa wenye elimu
 
Ni kweli wehujumiwa. Na wao APR walimhujumu Mazembe hadi kupelekea hasira ya Tresor Mputu kumpiga mwamuzi na kufungiwa mwaka mmoja ambako kulimharibia ndoto ya kucheza EPL. Anyways, APR wameponzwa na ushindi wa juzi maana watu walijiapiza kuwatoa
 
Ni kweli wehujumiwa. Na wao APR walimhujumu Mazembe hadi kupelekea hasira ya Tresor Mputu kumpiga mwamuzi na kufungiwa mwaka mmoja ambako kulimharibia ndoto ya kucheza EPL. Anyways, APR wameponzwa na ushindi wa juzi maana watu walijiapiza kuwatoa

A professional player can’t fight na mwamuzi

Hatutaki vijana wa hovyo EPL, akacheze
Ngoma
 
Sasa nyinyi utopolo mmewaachia nani hilo kombe? Yaani upigwe 3 kihalali kabisa useme ulimuachia APR sio?
Simba pamoja na mipango yote ya wanzazibar hilo kombe tunabeba fainali kibendera ajiandae kukataa magoli zaidi ya manne ya halali tutakayowafunga hao mlandege kama ataweza
Mlandege hawezi kula simba kamwe
 
Back
Top Bottom