SoC03 Application ya simu kwa ajili ya kutatua tatizo la upatikanaji wa mtandao wa simu vijijini (network challenge application solver)

Stories of Change - 2023 Competition

legatoirene

New Member
May 29, 2023
2
21
TITLE: APPLICATION YA SIMU KWA AJILI YA KUTATUA TATIZO LA UPATIKANAJI WA MTANDAO WA SIMU VIJIJINI (NETWORK CHALLENGE APPLICATION SOLVER)

UTANGULIZI

Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekubali teknolojia ya mawasiliano kama nyenzo muhimu katika uchumi na maendeleo. Takwimu zinaonesha kuwa mwaka 2019, Tanzania ilikuwa nchi ya pili Afrika Mashariki mbele ya Kenya katika soko la mawasiliano ikiwa na watumiaji milioni 48 ambayo ni sawa na asilimia 86. Kadhalika, mwaka 2018 sekta ya mawasiliano ya simu (Telecom) yalichangia 1.9% ya mapato ya taifa (real GDP) ambayo ilikuwa ni sawa na dola 859 milioni ikilinganishwa na dola milioni 672 mwaka 2014 ambalo ni ongezeko la 28%. Mafanikio hayo ni matokeo ya kuongezeka kwa idadi ya matumizi ya simu za mkononi na internet.

Pamoja na mafanikio makubwa ambayo sekta ya mawasiliano ya simu imeyapata bado kuna changamoto katika maeneo ya vijijini ambapo mitandao imekuwa haikamati vizuri. Hii ni kutokana na uchache wa minara ya simu kwa baadhi ya makampuni ya simu kutojenga minara maeneo ya vijijini na badala yake minara mingi imekuwa ikipatikana mijini. Makampuni mengi ya simu yamekuwa yakilalamika juu ya gharama kubwa ya ujenzi wa minara vijijini kitu ambacho kimekuwa kikiwanyima fursa wananchi waishio vijijini kufurahia huduma ya mawasiliano kama ilivyo kwa wakazi wa mjini.

Kwa mantiki hiyo, wakazi wengi wa vijijini huathirika sana kwa kukosa huduma hii kwa ukamilifu wake. Kila kijiji kina mtandao wake wanaotumia kulingana na upatikanaji wa minara katika eneo hilo. Kwa mujibu wa taarifa za benki ya dunia asilimia 64.05% ya Watanzania sawa na watu zaidi ya milioni 40,725,784 wanaishi vijijini kwa mwaka 2021. Kwa lugha nyepesi ni kwamba wakazi wengi nchini Tanzania wanaishi vijijini. Kwa hiyo uwekezaji katika sekta ya mawasiliano vijijini ni muhimu sana kwa maendeleo ya vijijini na taifa kwa ujumla.

APPLICATION YA KUTATUA CHANGAMOTO YA MTANDAO (NETWORK APP)

Kwa kuwa mitandao mingi ya simu imekuwa ikilalamika juu ya gharama za ujenzi wa minara kuwa kubwa hususani maeneo ya vijijini ambayo kwa sehemu kubwa imetawanyika (scattered) kutokana na wakazi wake kuishi maeneo mbalimbali kwa makundi tofauti na mijini ambapo wakazi wako sehemu (eneo) moja. Kupitia Mobile Application (Network APP) ambayo itamsaidia mtu yeyote mwenye simu kutumia mtandao/mnara wa simu ambao unapatikana eneo hilo kwa wakati huo.

Mfano Juma anatumia mtandao wa Tigo ambao kwa sehemu kubwa haujaenea vijijini lakini ameenda kumsalimia bibi yake kijijini na mtandao wa Tigo haupatikani lakini wakazi wa kijiji hicho wanatumia mtandao wa Halotel na kwa wakati huo unasoma vizuri, Juma kupitia Application hii ya simu ataiweka “ON” baada ya hapo atatafuta mtandao wa Halotel na ataweza kupiga na kupokea simu pamoja na huduma zote kupitia laini/mtandao wake wa TIGO.

Hii ni sawa na teknolojia ya Bluetooth ambayo tunaitumia kutuma na kupokea vitu mahali popote pale iwe vijijini au mjini bila kuwa na mipaka yoyote ile. Kadhalika, Network Mobile App ina uwezo wa kutumia mnara au mtandao wowote ule popote pale na kwa muda wowote ule utakapohitaji. Teknolojia hii haibagui aina ya simu kama ilivyo kwa Bluetooth au kama ambavyo tunatumia VPN au kama ambavyo tunashea Wi-Fi. Application hii itamsaidia mmiliki wa simu kutoka kampuni yoyote ku-seach mtandao wowote wa simu unaopatikana eneo hilo na kujiunganisha nao kwa ajili ya kufanya mawasiliano. Ili suala hili kuweza kufanikiwa katika utekelezaji ni lazima mitandao yote ya simu ambayo ni makampuni ya mawasiliano yakae pamoja yakubaliane juu ya mfumo huu ili kusiwe na kikwazo chochote katika mawasiliano hususani kwa maeneo ya vijijini. Sote tutakubaliana kwamba ukienda maeneo mengi ya vijijini huduma za simu na internet zimekuwa zikisumbua sana kiasi ambacho kinatunyima raha tuwapo maeneo ya vijijini.

FAIDA ZA APPLICATION

1. Kuongeza mapato ya serikali kwa kuwa kundi kubwa la wakazi wa maeneo ya vijijini yatafikiwa na huduma ya mawasiliano kwa asilimia kubwa.

2. Itatoa fursa za kibiashara kwa watu wengi ambao wengi wao hushidwa kufanya biashara kikamilifu kutokana na changamoto ya mawasiliano maeneo ya vijijini.

3. Itapunguza gharama za mtu kuwa na laini nyingi za simu pamoja na mtu kuwa na simu zaidi ya moja ili aweke laini zake badala yake itamlazimu kuwa na Application hii.

4. Application hii itakuwa mkombozi hasa maeneo ya vijijini kwa kuondoa kikwazo katika mawasiliano (Communication Barrier) na hivyo kutekeleza malengo endelevu (Sustainable Development Goal - SDGs) lengo namba 9 ambalo linalenga viwanda, ubunifu na miundombinu.

5. Application hii itachochea maendeleo, uwekezaji na uchumi katika maeneo ya vijijini kwa kuwa sasa mawasiliano yatakuwa sio changamoto tena.

HITIMISHO
Kutokana na changamoto ya mawasiliano nchini Tanzania na nchi zinazoendelea ni wazi kuwa ni muda muafaka wa kupata suluhu la kudumu. Application hii ni sehemu ya suluhisho hilo kwa kuwa inaenda kutatua changamoto ya mawasiliano hususani kwa maeneo ya vijijini na hivyo kufungua fursa za kiuchumi na biashara kwa kuwaunganisha wakazi wa mjini na vijijini katika sekta ya mawasiliano na hivyo kufikia malengo ya maendeleo endelevu (Sustainable Development Goal - SDGs).

Kama umependa andiko langu naomba unipigie kura yako sehemu iliyoandikwa vote. Asante sana na Mungu awabariki nyote.
 
Very interesting
 
Kama umependa andiko langu naomba unipigie kura yako sehemu iliyoandikwa vote. Asante sana na Mungu awabariki n
Very interesting
Good work
 
Kazi nzuri, ubunifu bora
 
Kazi nzuri kila la heri mkuu

Mapungufu ya project yako ninayoyaona.

1.Watumuaji wa Simu janja tu (Smartphone) ndio wataweza kutumia App yako hali ya kuwa vijijini asilimia kubwa hawatumii simu janja

2.Kwa huduma za tethering kama ya project yako mtu anatakiwa awe karibu na mtu mwenye App iyo(Yani mtu A awe karibu na mtu B)tofauti na hapo Tethering distance ikiwa zaidi ya mita 10 hutapata huduma ndivyo Wi-Fi,Bluetooth zinafanya kazi

3.Lazima kuwe na connection ya internet.Hapa tunarudi kwenye point namba 1

Je umejiandaa vipi kuzukabiru changamoto hizi kwenye mfumo wako?

Natanguliza shukran
 
Wamruhusu tu Elon musk atuletee satellite haya ya minara ya solar jua likizama tu na network hakuna.
Kuna sehemu ni halotel tu Tena mchana ukienda na laini zingine itafungiwa tu hakuna network
 
Attainable solution👏👏
 
Good Stuff
 
Una kitu👏
 
Kazi nzuri kila la heri mkuu

Mapungufu ya project yako ninayoyaona.

1.Watumuaji wa Simu janja tu (Smartphone) ndio wataweza kutumia App yako hali ya kuwa vijijini asilimia kubwa hawatumii simu janja

2.Kwa huduma za tethering kama ya project yako mtu anatakiwa awe karibu na mtu mwenye App iyo(Yani mtu A awe karibu na mtu B)tofauti na hapo Tethering distance ikiwa zaidi ya mita 10 hutapata huduma ndivyo Wi-Fi,Bluetooth zinafanya kazi

3.Lazima kuwe na connection ya internet.Hapa tunarudi kwenye point namba 1

Je umejiandaa vipi kuzukabiru changamoto hizi kwenye mfumo wako?

Natanguliza shukran
Habari, Asante sana Kwa kuwa mfatiliaji mzuri wa nakala yangu ya Application ya simu ya kutatua tatizo la upatikanaji wa mtandao vijijini, na mpenda maendeleo katika taifa letu. Naomba nikujibu maswali Yako kama ifuatavyo

1. Bluetooth ipo kwenye kila aina ya simu bila kujali ni simu janja au ya kawaida hivyo hata hii App itakuwa hivyo.

2. Simu hunasa network ya minara ambayo iko umbali zaidi ya mita 10 lengo la application hii ni kunasa network ya mnara wowote ulioko karibu sio kama uwezo wa Bluetooth, wi-fi nk. Hizi zimetumika kama mfano wa namna hii App itakavyokuwa ila haina maana itakuwa na features za Bluetooth au wi-fi na haitegemei mpaka mtu awe karibu na mtumiaji ukaribu wake unahusika kujua kama network ya mtandao mwingine unakamata kwa watu wengine only that.

3. Application hii haihitaji internet connection ili ifanyekazi kwa sababu hata Bluetooth hushika bila hata uwepo wa mtandao.

NB: Bluetooth na Wi-Fi zimetumika kama mifano ili kujengea hoja na kuonyesha jinsi hii application itakavyokuwa.🙏
 
Back
Top Bottom