App gani zinatoa mikopo mtandaoni (Kuzingatia Usalama na uhakika wa kupata mkopo?)

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
800
1,050
Habari za wakati huu wakuu? Bila kupoteza muda kujielezea, nilikua naomba kupata muongozo wa kupata app sahihi kwa ajili ya kuomba mkopo, lakini kwa bahati mbaya sizifahamu app ambazo zinatoa mikopo hiyo kwa uhakika

Nilijaribu Branch lakini ombi langu la mkopo linakataliwa kila baada ya siku 7, nina changamoto kubwa inayohitaji fedha kwa wakati huu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukishapata Mpunga unitafute tukamwagile moyo Wavuvi ,maisha ndo haya haya
 
Je, ushawahi kukopa kupitia hizi app, nipe experience which is the best na ina uhakika wa kupata kiasi hiko
 
Je, ushawahi kukopa kupitia hizi app, nipe experience which is the best na ina uhakika wa kupata kiasi hiko
Mkuu achana nazo....kama una shida sana basi go for them. Wanakopesha kuanzia elfu nne au nane. Bado hujakatwa ya kutolea.
Kudai watakutishia weeee hadi na matusi juu.
Pesa x watu wa hovyo...usikope pesa x
 
Pesa x ni nyoko sana walinikopesha 10000 baada ya wiki 1 walianza kunipigia simu,kwa siku wananipigia zaidi ya watu 20 tofauti .walienda mbali wakawapigia hata waliokuwa wadhamini .niliwachelewesha makusudi ili niwakomeshe,sasa nilishawalipa na sina shida na mikopo yao.nikiwa na shida nasongesha na vodacom
 
Back
Top Bottom