Ansbert Ngurumo, Mange Kimambi na Evarist Chahali wajuzeni watanzania fursa zilizopo nje ya Tanzania

Aliyeshindwa siasa ni huyo dhalimu aliye na chuki za kutisha na roho mbaya hadi kuamua kuua Watanzania wasio na hatia yoyote ile. Tia akili kichwani.


Humjui anayeuwa watu? Yuko kuleee kaskazini. Tokea ujambazi wizi wa magari hadi ubunge. Karudia kazi yake
 
Vyuma vimekaza Mjini Watu wamekimbilia Ulaya Na kujidai Ni Wakimbizi wa Kisiasa
 
Tafadhali usiunganishe thread. Unapigania uhuru wa kujieleza niache na mimi nijieleza.

Ngurumo muongo na mnafiki mkatae

Ndio hawa waandishi wa hili gazeti. Hajatuomba radhi kwa uongo wake

Admini tafadhali usiunganishe. Usiingilie uhuru wangu. Tutaandika kwingine ambapo huna uwezo nako kuzuia au kuunganisha
Are you a dictator? Kwanini unanilazimisha nikubaliane na matakwa yako? Wewe unataka usiingiliwe Uhuru wako lakini wewe huyohuyo unaingilia uamuzi wangu! Huo unaoingilia kwenye kura zangu hautoshi?
 
Sisi wahenga wa JF tukisema JF nyakati hizi kuna watoto wetu mpaka wa shule za msingi ambao ndio wanasababisha tusiingie,tunaonekana waongo. Sasa Mods,huu si ni ushahidi dhahiri?
 
Tafadhali usiunganishe thread. Unapigania uhuru wa kujieleza niache na mimi nijieleza.

Ngurumo muongo na mnafiki mkatae

Ndio hawa waandishi wa hili gazeti. Hajatuomba radhi kwa uongo wake

Admini tafadhali usiunganishe. Usiingilie uhuru wangu. Tutaandika kwingine ambapo huna uwezo nako kuzuia au kuunganisha
Ndiyo imesha unganishwa, unasemaje sasa!!
 
Alianza Chahali kuisema vibaya Serikali ya Tanzania akiwa huko Uskochi miaka zaidi ya sita iliyopita akafuatiwa na Mange akiwa Marekani pamoja na kuishambulia serikali lakini huyu na kuwatusi viongozi wa ngazi za juu za serikali na sasa ni huyu mkimbizi uchwara wa kiuandishi Ngurumo akiwa huko Finland kwa kujifanya anazijua taarifa za vikao vya siri ndani za serikali na kuzitoa kwenye public.

Kuna mengi huwa yanayoongelewa na watu walio nje ya nchi zao dunia kote lakini mengi huwa ni yale ya kweli na si porojo kama za hawa watatu.Lakini mengi ambayo huwa yanatolewa na watu hawa ni maneno ya majungu majungu tu kuhusu serikali na yale ya ukweli ni very few na mara nyingi hutolewa na Chahali.

Sasa kama huo ndiyo uchaguzi wao wa namna ya kuishi huko majuu waliko nadhani wajue kuwa wengi ambao huwa wanaishi nje ya nchi zao hufanya kila linalowezekana ili kuzijenga nchi walikotoka na si kuzibomoa kama namna wanavyofanya kikundi hiki cha watu watatu.

Kutuleta taarifa za siri zisizokuwa na ukweli wowote kwenye media za huku tz hazitusaidii sana zaidi ya mamlaka husika kuendelea na kazi zao.

Nilitegemea mngeanzisha hata namna gani ya kuwafanya watanzania kujua fursa zilizopo huko na kuwaunganisha watanzania na taasisi mbalimbali za huko mnakoishi ili waweze kushirikiana nazo katika kusaidia sekta mbalimbali kama ,biashara,elimu,technolojia,mawasiliano,utalii, na fani zingine ambazo huku tz yawezekana hazipo kabisa.

Muda mrefu mko katika mitandao ya kijamii lakini sioni namna mnavyowaelimisha watz ya kujiongeza kimaisha kitu ambacho kingekuwa cha maana zaidi na hata ukaaji wenu huko ungekuwa na maana zaidi kwa jamii ya kitanzania.

Wakenya wanaoishi ulaya na Marekani wanawasidia sana wakenya waliopo nyumbani kwa kuwapa fursa mbalimbali za huko majuu na kujikuta movement za wakenya kwenye airlines mbalimbali ni wengi sana.
Ipo aina nyingi ya wakimbizi,lakini huyu mhandishi wa habari alidai kuwa kuna watu wanatishia maisha yake.Nchi aolikimbilia Finland ikaridhika na kumpa hifadhi.
Sasa mambo mengine iwe kweli au isiwe kweli,ni juu yake na serikali yake,lakini hakwenda kule kama fulsa za kazi au biashara nafikiri tofautisha status yake ya ukimbizi wake.
 
Huyo dada kichaa yuko chini ya makampuni makubwa ambayo yanamtumia na kumlipa pesa nyingi sana. Anatumiwa na magenge ya wauza madawa, wafanyabiashara wezi wakiwemo wale wa The Economist na nchi ya kijerumani ambayo inaitaka Tz kama koloni lao la zamani.

Na kwa maana hiyo, huyu dada anasafirishwa katika nchi tofauti kwa ajiri ya vikao na hao watu kutoka US kwenda UK, Ujerumani na Hong Kong. Na kwasababu amekubali kutumika kuichafua nchi yake na kutimiza majukumu aliyopewa huyu dada ana ulinzi wa maana sana. Wanajua bila ulinzi hawezi kufanya kazi yao kwahiyo wanampa pesa nyingi na ulinzi mkubwa.

Kwa sasa huyu dada ni tishio kwa nchi yetu kwasababu sasa hivi kila kundi hasimu na utawala wa hawamu ya tano kuanzia ndani kwenda nje wote wanamwona ni mtu sahihi kwao. Si ajabu kukuta haya makundi hayajuani lakini wote wanamtegemea Mange.

This is serious!
 
Maandamano ya Mara kwa Mara, uhuru wa kutoa matusi bila kubugudhiwa na polisi na umpungufu wa kumbi za mikutano(mpaka tunafanyia ubalozi wa EU) ndo vipaumbele vya watanzania kwa sasa.

KWA HISANI YA AKILI ZA KINA MIGUNA MIGUNA
Kuna muungwana aliwafananisha na PIMBI!
 
Back
Top Bottom