Ansbert Ngurumo anauliza: Maamuzi magumu? Mbona tuko gizani?

Nakuunga mkono, MWANAHALISI na Tanzania Daima ni miongoni mwa mwagazeti ambayo wamiliki/wahariri wake wamenunuliwa na Edward Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge kuwalinda mafisadi hawa na kuwashambulia maadui wa mafisadi hawa -- Sitta, Nape, Mwakyembe, Membe, Kikwete, etc.

Eti Lowassa waziri mkuu mstaafu? Pumbaf, huyu ni waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond. Kamwe historia hii haitafutika na itamtafuna mpaka mwisho kwenye mbio zake za sakafuni za kusaka urais 2015.

Kama wewe ni mmoja wa wanaotaka CCM iondolewe madarakani then usifadhaike.......yanachofanya magazeti uliyoyataja hapo juu ni kutumia "divide-and-overthrow" tactic.

Who else is there for overthrowing? Isn't it CCM (Lowassa, Rostam, Chenge, Sitta, Mwakyembe, JK, Nape, Sitta) that you also probably want out??
 
Nawashangaa sana watu wanaomsifia Lowassa kuwa eti ni mchapa kazi. Mbona Lowassa alishindwa kufanya maamuzi magumu taifa lilipoingia kwenye janga la mgao wa umeme mwaka 2006? Badala ya kulisaidia taifa liondokane na tatizo hili, Lowassa huyo huyo wenu aliweka maslahi binafsi mbele (ufisadi) na kugawa tenda kwa Richmond ya swahiba wake Rostam wakati akijua fika kuwa kampuni hiyo haina uwezo wa kuzalisha umeme. Huyu ndiyo hero wenu? Mbona mnatia huruma nyie, au mna mtindio wa ubongo?!
 
Nakuunga mkono, MWANAHALISI na Tanzania Daima ni miongoni mwa mwagazeti ambayo wamiliki/wahariri wake wamenunuliwa na Edward Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge kuwalinda mafisadi hawa na kuwashambulia maadui wa mafisadi hawa -- Sitta, Nape, Mwakyembe, Membe, Kikwete, etc.

Eti Lowassa waziri mkuu mstaafu? Pumbaf, huyu ni waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond. Kamwe historia hii haitafutika na itamtafuna mpaka mwisho kwenye mbio zake za sakafuni za kusaka urais 2015.

Ni nakala mzuri lakini hapo alipoandika kwamba "Lowasa ni waziri mkuu mstaafu" ameifanya nakala yote iwe contaminated. Hii ni makusudi na sio bahati mbaya, Ansbert Ngurumo na wenzake wanajua wanachofanya. Bahati mbaya sana anachangia kuharibu historia ya nchi yetu.
 
Mhariri Mkuu wa Tanzania Daima, Absalom Kibanda, yuko kwenye payroll ya Edward Lowassa. Hili jambo linafahamika sana. Hata mmiliki wa Tanzania Daima, Freeman Mbowe wa CHADEMA, anajua hili lakini hachukui hatua yoyote kwa kuwa Mbowe na Lowassa ni marafiki. Kama mnabisha, jiulizeni ni lini Mbowe amemnyooshea kidole Lowassa hadharani au kuzungumzia kashfa ya Richmond na kumuita Lowassa fisadi?Tulidhani kuwa Ansbert Ngurumo ni mtu mwenye msimamo, kumbe na yeye sasa kawekwa mfukoni Lowassa! Eti anamuita Lowassa waziri mkuu mstaafu, huyu ni waziri mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi. Hata akaogeshwe maji ya baharini, Lowassa hatakati ng'o kwa tuhuma nzito za ufisadi na kujilimbikizia mali kwa kutumia ofisi za umma.Kwa kutumia nafasi zake kama mkurugenzi wa AICC, waziri na waziri mkuu, Lowassa tayari amekuwa bilionea. Je akipata Urais anaoutaka kwa gharama yoyote ili kwa kushirikiana na fisadi mwenzake Rostam Aziz, Lowassa si atakuwa mwizi mkubwa kama Sani Abacha au Mobutu Seseseko!!
Kumbe kumwita Lowassa waziri mkuu mstaafu ni kununuliwa! Ok. Ngoja nimuite former PM.
 
Kumbe kumwita Lowassa waziri mkuu mstaafu ni kununuliwa! Ok. Ngoja nimuite former PM.

Ngurumo.....save your breath mpiganaji. Don't allow mediocrity take you off the course.
These are deliberate attempts za baadhi ya watu to trivially divert wapiganaji kutoka kwenye mstari wa mapambano.

Just continue doing that good job you have all along been doing so impressively.
 
Back
Top Bottom