Messi ni kama mkia wa mbuzi, haustiri uchi wala haufukuzi Nzi...
Una maanisha messi useless...au nimekuelewa vibaya
Uko sahihi Mkuu! Kwa wakati huu hakuna wa kumlinganisha na Messi. Pamoja na umahiri wake, hana kiburi, majivuno au tabia ya kujionesha kama CR7 au Eto'o alipokuwa anang'ara kwa mfano.I real love this guy coz anakosa wa kumshindanisha ila tunalazimisha tu kumshindanisha