Anne makinda ni mwanamke??

Status
Not open for further replies.
Swali kwa wana Njombe: Maana ya 'Makinda' ni nini? Kwetu ni 'watoto wa ndege'. Au ni majina ya jirani zao wa Ruvuma?
 
unataka kumuoa??
Makinda.jpg

yesu wangu nyie watu picha zingine zitawakimbiza watotozetu JF jamani pls angalien pa kuziweka mod tuwekee KWA WAKUBWA HII
 
La msingi siyo hilo wan JF. Can she advocate a fair fair play on a fair ground kama akiwa speaker?? hilo ndilo muhimu. Anna ni dictator no 1 na hana sifa ya kuongoza bunge kama hili. Ila wale "jamaa zetu" wanajua ndiye anayewafaa kuendeleza kimya na kuwanyamazisha wale wasiopenda mafisadi na ufisadi.
 
nimesikia wapuuzi wa ccm wakiongea tunaitaji bunge la spika mwanamke,...kiila nikiangalia najiuliza huyu kweli ni mwanamke??kwa waliokuwa wakifwatilia bunge waliona mambo aliokuwa akifanya mpaka kutukana wazee wetu na kuwalazimisha waketi kama wajuu zake kama vile we panya nakwambia kaa chini utaki...nimekaa nikajiuliza huyu mama ameolewa??najua wapo waliooana wenyewe kwa wenyewe ilinigarimu kuamini huyu mtu ni mwanamke jinsi alivyokuwa akijibu wabunge na mwaka huu atarajie matusi ya nguoni kwa vijana wa mjini kama si kuimbwa kwenye nyimbo kwa upuuzi anaotaka kuendelea nao.....labda maniasaidie jamani ni mwanamke mwanamume

mbona hapa jijini kunatetesi kuwa mdee nae ni jike dume?
 
Nshawai muona akipreside moja ya vikao vya bunge ana hulka ya ubabe sana na huwa achelewi kumwambia mtu kaa chini

Kumbe kuolewa nako ni suala la muhimu otherwise ule ubabe unareflect kitu
 
Kuolewa ni fani. Amuoe nani kisilani huyo? Kinachoniuma zaidi, lile vazi la spika halimkai vizuri. Akili zake "SHAKE WELL".

lile vazi la uspika lilimpendeza sana Sitta kwa sababu alilidesign yeye mwenyewe mwaka 1970
 
La msingi siyo hilo wan JF. Can she advocate a fair fair play on a fair ground kama akiwa speaker?? hilo ndilo muhimu. Anna ni dictator no 1 na hana sifa ya kuongoza bunge kama hili. Ila wale "jamaa zetu" wanajua ndiye anayewafaa kuendeleza kimya na kuwanyamazisha wale wasiopenda mafisadi na ufisadi.

does she know the meaning of fair play?
 
Du hii kali sasa. Anaweza kupimwa hormones kama Semenya (mkimbiaji wa South Africa). Kama hormone za kiume zitazidi za kike then ni mwanamme na kama levels ya za kike iko juu then "Probably" ni mwanamke. Ila kwa sura nafikiri ni ngumu
 
kaa! Angekuwa kule kwa watani zangu na haya macho mekundu! Sijui ingekuwaje?

shinyanga mamayangu wangeshamkata mapanga na macho mekundu hivyo loh...mama usikanyage shinyanga bila full security watakumaliza
 
Kama huyu mama hakuwa shujaa wa kukanyaga umande/kusoma angekuwa mganga wa kienyeji for shizzle
 
Thank you!

img_3789.jpg

Rev

Hii picha imenifanye nitabasamu kwa mara ya kwanza leo!

Huyo nyuma ya PM ni Celina K au Tunu P? Looks like "she has been there and done that"?

Anne yupo kama askari "anavyobadilisha hatua" -kutoka mwendo wa pole kwenda mwendo wa haraka - Zero PR!
 
Huyo ni mama Pinda anajaribu kupinda Mgongo!

img_3789.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom