Anne makinda atawezaje kupambana na ufisadi ili hali amekula matunda ya ufisadi?

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
Katika kuwania kiti cha uspika ushindi wa Makinda ulisemekana kufadhiliwa zaidi na nguvu za mafisadi, ambao waltumia kila njia kumzima Samweli Sita. Na kwamkakati wao mafisadi waliweza kuhonga CC na kubadilisha kanuni ambayo haikuwepo kuwa sasa iwe zamu ya Wanawake, Kwa kupitia mgongo wa mafisadi Makinda alivhaguliwa kuwa Spika. Kuhusu Mafisadi kumsimamisha Spika wao ililamikiwa mara nyingi na SAMWELI SITTA.

kama ni hivyo Makinda ana uwezo gani wa kupambana na mafisadi? ikiwa mafisadi hawa waliweza kuhonga CC je harakati za sasa zitawezaje kuwa msada? ilihali tatizo hili ni kubwa?
 
Makinda n fisadi n km kelele za chura hazimzuii .....kunywa maji km vp nawe ananywewa.
 
Aliyemuondoa Msekwa kwenye uspika ndiye aliyemuweka Sitta!. Aliyemuondoa Sitta kwenye uspika ndiye aliyemuondoa na ndiye aliyemuweka Mama Makinda!. Kama wote waliwekwa na mtu yule yule kama Sitta aliweza, kwa nini Makinda ashindwe!.
 
Back
Top Bottom