Anne Kilango MNAFIKI, Yeye amevuna miti kwa kwa kibali cha Maige; Sasa amgeuka...

QueenBee

Member
Mar 15, 2012
63
7
Angalia kwenye Website ya Bunge mkuu, jamaa ameandikwa kuwa ni CEO wa hiyo kampuni, pia niliwahi kumsikia akijitaja ni mmiliki wa hiyo kamapuni wakati ule ameshiriki mgomo wa madaktari, alikuwa anahojiwa na Gerard Hando wa Clouds FM
 
Sorry ni hivi Huyu Mheshimiwa Alikuwa rafiki Mkubwa wa Maige wakati akimuomba vibali vya kuvuna misitu na alimpa KIBALI cha kuvuna na akakiuza kwa mamilioni. Hakuishia Hapo akaomba na vibali zaidi alipomnyima ndiyo imekuwa shida. Alimfanyia hivyo hivyo Ngereja. Akimaliza haja yake basi YEYE Harudi nyuma.
 
Mama yule ni mnafiki na mbinafsi anayependa sifa wakati hastahili.
Pekupeku tu na ndio mzee hana jipya msaliti tu.
Mama maslahi twamjua.
 
Back
Top Bottom