Anna Makinda: Nakuja Kugombea Jimbo Lako 2015

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Napenda kutangaza nia ya kugombea jimbo la Mama Anna Makinda 2015. Mama naona kashindwa kazi, tangu aingie madarakani hamna chochote alichokifanyia jimbo letu. Kama mwanamke mwenzake, natumai wana CCM wataniunga mkono kulikomboa chama kutoka mikononi mwa mafisadi waliomteka mama yangu nje na ndani ya Bunge
 
Back
Top Bottom