Fatma-Zehra Senior Member Oct 18, 2020 192 1,062 Jul 22, 2021 #46 Shida ya nchi yetu kwa sasa siyo covid. Ni Sukari, Presha, Cancer na Ukimwi.
B brazaj JF-Expert Member Jul 26, 2016 28,107 36,077 Jul 22, 2021 #49 Apumzike kwa amani Anna Mghwira. Hata hivyo Corona haipo.
G Sam JF-Expert Member Apr 20, 2013 11,555 35,883 Jul 22, 2021 #50 Wang Shu said: R.I.P, kama ingetokea kuchaguliwa Raisi mwaka 2015 leo hii tungeanza maombolezo ya kitaifa. Click to expand... Tulishafanya inatosha
Wang Shu said: R.I.P, kama ingetokea kuchaguliwa Raisi mwaka 2015 leo hii tungeanza maombolezo ya kitaifa. Click to expand... Tulishafanya inatosha
Ulweso JF-Expert Member May 24, 2016 23,118 27,942 Jul 22, 2021 #51 Duu jamani poleni sana ndugu jamaa, R.I.P Mama Mghwira Sent using Jamii Forums mobile app
mama D JF-Expert Member Nov 22, 2010 19,760 35,207 Jul 22, 2021 #53 Sad💔💔💔💔💔💔💔 Rest well mama, msalimie Shujaa JPM mwambie Mama SSH anachapa kazi😢😢😢😢😢
Banjuka JF-Expert Member May 7, 2021 1,007 1,891 Jul 22, 2021 #56 R.i.p mama. Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Chukwu emeka JF-Expert Member Jan 12, 2018 23,443 36,666 Jul 22, 2021 #57 RIP mama....... Nina rafiki yangu kapoteza kaka yake Moshi kwa kovidii. Wakati huohuo familia yake mpaka watoto hali ni mbaya, mnaoenda Moshi chukueni tahadhari
RIP mama....... Nina rafiki yangu kapoteza kaka yake Moshi kwa kovidii. Wakati huohuo familia yake mpaka watoto hali ni mbaya, mnaoenda Moshi chukueni tahadhari