Angelikuwa ni Mh. G Lema amepanda jukwaani na bastola!!

Hahahaa
wapenzi wa nape utawajua tu!
umedhihirisha kabisa kwamba baadhi ya Vyama vya siasa vina wapenzi/washabiki wendawazimu na hivyo kuhofia hata uwezo wa vyama hivyo. Maneno kama "KUNYEA DEBE", "KUWA KITOWEO " umuhimu wake katika mada hii ni nini? Wewe Lema unamfahamu vizuri kweli? Kakak ama kweli usilolijua ni kama usiku wa giza. Nenda kakae vijiwe vya Arusha upate habari zake viziuri.
 
Jamani haya yote yana mwisho

Wakuu...angelikuwa ni kamanda Lema amefanya aliyoyafanya Rage.....
1) angekuwa yupo segerea saa hizi
2) Shimbo wa jwtz angekuwa ametoa tamko, huku vifaru vichakavu vya jwtz vikitoa moshi kwa nyuma yake.
3) yule waziri mwenye ndugu zake kule Mahale national park angekuwa ameshatukana kwenye vyombo vyote vya habari
4) ngongo wa jf arusha angekuwa ameanzisha thread zaidi ya 10
5) jamaa zetu wasio na uvumilivu...ms, rejao na the like wangekuwa wanahamasisha viroboto wenzao kupinga kuvunjwa kwa amani
6) wale jamaa zetu wapendao ubwabwa na posho, wangekuwa wameshatoa tamko kali.

...........endeleza list hiyo mwenyewe!
 
Wangesema cdm wanahamasisha vita na wavunjifu wa amani,naamini ungekuwa mtaji wa kisiasa igunga
 
Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.

Huyo ustaadh Msomali ndiye anashirikiana na majambazi kupora mali za wananchi. Inasemekana hawa wasomali Rage (mwizi wa fedha za FAT) na muuza pembe za ndovu (Kinana) ndiyo wanafadhili hata ujio wa wasomali wenzake hapa nchini. Nadhani wakati umefika tuwafukuze hawa wasomali hapa kwetu badala ya Mura kuleta ujinga hap jamvini
 
siku lema akipewa silaha halafu kuwepo na maandamano atafanya mauji ya kutisha. Sidhani kama ana sifa za kumiliki hata kisu

mwenyewe unampenda lema pamoja na kumdis humu ndani. Mafanikio yake ndiyo yanayokupa homa ewe mzimu wa nape
 
Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.

imbecile
 
Haya mambo yapo sana, sisi tumezaliwa tumeyasoma na mengine tunayaona!kawaida ya kipindi kama hiki mambo kama haya huweiz kuyakwepa!watu wako kwenye breaking point, wanataka mabadiliko kwa gharama yoyote nad soon tutaona makubwa saana, upande wa pili wanaumiza vichwa, washashika hatam, wamenogewa ila wamaharibu, sasa wanawaza ni jinsi gani wafanye but it is too late, watawalinda akina rage, na wenzake lakini mwisho utafika haya yote watayajutia, look at zambia!yuko wapi ghabo, yuko wapi mzee wa maisha wa misri, yuko wapi tajiri wa tunisia, angalia kenya, uliona wapi waziri mkuu mshahara wake mkubwa kuliko rais, yalitokea mangapi na siri ni nini,????alama za nyakati kaka watu hawawezi kusoma, huwezi kuongoza watu kwa kipindi hiki chote 50+ na bado watu hawana dira, hawana umeme, hawana barabara, hawana shule za uhakika, hawana hospitali, hawana usafiri, elimu yao ni ya uraia wanayoipata toka kwa viongozi wachache wa cuf, chadema,nccr! Je dhamana ya nchi nani kapewa???tunaona na tunajua, pesa zinaliwa watu wako kimya na sio kwamba hawajui! Nyie ombeni uzima!
 
mwenyewe unampenda lema pamoja na kumdis humu ndani. Mafanikio yake ndiyo yanayokupa homa ewe mzimu wa nape

Acha ushamba wewe Lema, ana mafanikio gani? Hivi kuwa mbunge ndio mafanikio.

Kwa hiyo Prof. Majimarefu, Rose Kamili, wana mafanikio makubwa?
 
Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.

Rage anahistoria ya ujambazi pale FAT siku hizi TFF
 
Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.
Mwita25 you never stop amazing me! Rage is a convicted criminal. Lema ni tuhuma tu! Sasa unataka tuamini nini? Tuhuma au a mhalifu ambaye alishakuwa convicted before the court of law!Get real dude!
 
Mwita25 you never stop amazing me! Rage is a convicted criminal. Lema ni tuhuma tu! Sasa unataka tuamini nini? Tuhuma au a mhalifu ambaye alishakuwa convicted before the court of law!Get real dude!
Rage alikata rufaa akashinda kesi hii. Kumuita convicted criminal mnamwonea tu. Mahakama ilishamsafisha ndio maana akaweza kugombea UBUNGE.
 
Back
Top Bottom