Angalia unafiki katika Zanzibar Kuna watu Daraja Mbili First Class na Secound Class ambao ni wananch

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
[h=1]Jee hawa hawajapigwa Mabomu?

Khitma ya kuwaombea maiti za Mv. Skagit[/h]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein wapili kutoka kulia akijumuika na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi katika Khitma na Dua ya kuwaombea marehemu waliofariki kwa ajali ya Meli ya Skagit iliozama karibu na kisiwa cha chumbe 18/07/2012 katika Msikiti wa Mushawwara Muembe shauri Zanzibar

[h=1]JEE HAWA NDIO WAKUPIGWA MABOMU?

Viongozi wa Uamsho watafutwa, 40 mbaroni[/h]Posted on July 22, 2012 by zanzibaryetu
Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) kushoto ni Azzan Khalid Hamdan, Msellem Ali Msellem, Farid Hadi Ahmed, Khamis, na Mussa Juma Issa wakiswali katika Msikiti wa Mbuyuni kabla ya kusambaratishwa na Kikosi cha kutuliza Ghasia (FFU)
 
Maghala ya mabomu,risasi, mizinga yamefunguliwa kwaajili ya hao wachini wanao vuruga amani ya kisiwa chetu na kuchoma nyumba za ibada za wenzetu. Kwa hiyo walitawanywa kwani walikuwa wanafanya unafiki.Na watatafutwa kokote walipo ili washikishwe adabu ili kufunza wengine.
 
Jee hawa hawajapigwa Mabomu?

Khitma ya kuwaombea maiti za Mv. Skagit

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein wapili kutoka kulia akijumuika na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi katika Khitma na Dua ya kuwaombea marehemu waliofariki kwa ajali ya Meli ya Skagit iliozama karibu na kisiwa cha chumbe 18/07/2012 katika Msikiti wa Mushawwara Muembe shauri Zanzibar

JEE HAWA NDIO WAKUPIGWA MABOMU?

Viongozi wa Uamsho watafutwa, 40 mbaroni

Posted on July 22, 2012 by zanzibaryetu
Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) kushoto ni Azzan Khalid Hamdan, Msellem Ali Msellem, Farid Hadi Ahmed, Khamis, na Mussa Juma Issa wakiswali katika Msikiti wa Mbuyuni kabla ya kusambaratishwa na Kikosi cha kutuliza Ghasia (FFU)
isije ikawa polisi wana" phobia" na ndevu
 
Mtu umetoka kuchoma nyumba za ibada za wenzio alaf una jidai una swali, ni mungu gani huyo unaye mswalia?
Ni bora hata mgetoa tamko la kulaani kitendo cha uchomaji wa makanisa na mnakana kinafiki.

Hata kutubu hamjatubu eti mnaenda kuswali, wala polisi hawa kupanga kuwapiga ni nyie tu laana ina wazunguka kila mnapo kwenda.

Na kipindi hiki wala hakuna risasi wala bomu litakalo mkosa mchoma nyumba za ibada. Nyie ndio mnafanya dini hionekane vibaya kumbe nyie ndio wabaya.
 
mtu umetoka kuchoma nyumba za ibada za wenzio alaf una jidai una swali, ni mungu gani huyo unaye mswalia?
Ni bora hata mgetoa tamko la kulaani kitendo cha uchomaji wa makanisa na mnakana kinafiki.

Hata kutubu hamjatubu eti mnaenda kuswali, wala polisi hawa kupanga kuwapiga ni nyie tu laana ina wazunguka kila mnapo kwenda.

Na kipindi hiki wala hakuna risasi wala bomu litakalo mkosa mchoma nyumba za ibada. Nyie ndio mnafanya dini hionekane vibaya kumbe nyie ndio wabaya.
nyumba ya ibada ipi?
 
LAANA ITAWAUWA NYIE....Mnampigania MUNGU. sisi anatupigania, MKONO wa Mungu Unawagusa sasa
 
angalikuwa nchi bado wanatawala wakoatoliki kama Mkapa. tungalikuwa tushachinjana mwaka huu. maana NCHIMBI ANAAMINI KANISA LINANGUVU TU

Kiongozi nakupe ushauri wa bure tena kwa nia nzuri kabisa. Kwa mungu hakuna unafiki, unaweza kucheza na akili za wanadamu wenzako lakini kwa mungu huwezi kuficha nia/dhamira mbaya. Rais wa Zanzibar ambaye ni mwislam kama ana mamlaka makubwa sana, siamini kabisa kama Nchimbi anaweza kufanya jambo Zanzibar bila baraza za Rais wa Zanzibar.

Lakini kama nilivyosema, ukweli wa nia yako juu ya huu mchango wako ni juu yako wewe na mungu wako.
 
Back
Top Bottom