Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya auawa kinyama Dar

R.I.P Mungu amtie nguvu na ujasiri aweze kusahau maumivu aliyoyashuhudia kwa macho yake.
Binadamu wamekuwa wanyama zaidi ya Simba.
 
Inauma kupitiliza ....hao wauaji watakimbia mkono wa Polisi lakini hawatokimbia hasira ya Mungu. Lazima watu wajue damu daima hubaki kumlilia Mungu na laana yake itatembea kwako hadi kizazi chako cha nne. Hata ujizindike kwa mganga anayeweza kuzuia risasi, lazima laana ikushukie kwa nguvu itayokuumiza zaidi ya uliyowatendea wengine.
Watatubu dhambi zao then kesho utawakuta kwa Mzee wa upako wakijisifia mungu kawakirimia huku wanaimba mapambio na kucheza sebene kama malaika-watu
 
Mshana sidhani kama fingerprints zinatumika huku kwetu. Inawezekana wauaji walimwonea mtoto huruma au walimwacha ashuhudie wakiamini bado ni mdogo so hawezi fanya lolote
Fingerprint machine si ndio Lugumi kaingia nazo mtini
 
Hivi dunia imekuwaje...within this month washachinjwa wangap., ?? Binadam tumekuwaje...daaaah
 
Inawezekana wewe Ni mkatili kuliko hawa waliofanya haya mauaji kwa kuwaza kuua kiumbe asiye na hatia wala uwezo WA kujitetea., potelea mbali na mawazo yako maovu.
Leo hii wazazi Wako wangefanya unavyowaza ungelikuwepo??
Mimi nasema wanawake wengine makatili WA kiwango cha juu kabisa

Soma vzr post yangu mkuu. Usitokwe povu pasipo kuelewa content.
 
Haka kawimbo sijui nani waliimba, sijui Ni OTTU au Msondo Ngoma! Nakapenda sana, Chorus nakumbuka inasema.....
"Tunatoana roho yarabi hiiihiiii kwa Mali alizoacha "Baba" (imba Kaka).. ..
Mwenyeji Mungu ampumzishe huyo mrembo panapostahiri..

Naimani kubwa jeshi letu litawakamata wote waliohusika na Unyama huo! Vifo vya namna hii si tu vinasikitisha ila vinatia hasira!!!!
Msongo Ngoma
Too bad. The World is full of cruel people...
 
Wema huwa hawatakiwi. Dah! Inaumiza sana. Yaani matukio ya kuchinjana yanashamiri kila uchao.
Afu watu mpende kusoma. Tukio limetokea Kigamboni, Dar. Kaka mtu ndiye aliyeuwawa Arusha.
 
Kwanini anko @Magufuli aiiuze hii dunia ili kila mtu achukue chake asepe kuliko kuendelea kuona upuuzi huu??
 
MBERE yake nyuma yako na mimi pia, ila kuna kitu sidhani km tumefika pahala pa kuuana bira sosi, wadau hakuna tetesi? alikuwa anafanya kaz wapi? mshahara wake, mali zake, company zake, tabia zake, muumini wa dhehebu gani? tuanzie apo kutafta ukweli, pia vyombo vyan usalama anzieni nilipo dodosa.

Mbere = mbele
 
Wema huwa hawatakiwi. Dah! Inaumiza sana. Yaani matukio ya kuchinjana yanashamiri kila uchao.
Afu watu mpende kusoma. Tukio limetokea Kigamboni, Dar. Kaka mtu ndiye aliyeuwawa Arusha.
Mortals are not stationed
 
Kwanza investigation huyu Dada anafanya kazi wapi?na yupo kitengo gani anaishije ofisini?wapi rafiki zake?huwa akitoka ofisini anaongozana na nani?anapark wapi gari kama anagari?kuna watu wanasema she was single but no huyu Dada aliolewa nadhani 2011 0r 2012 or 2010 nafaham hivyo n kwanini aliachana na mwanaume wake mume?na mume yupo wapi?na wanaishi vipi?imean uhusiano wao ukoje baada ya kutengana kuna maelewano or hakuna?an tokea alivyoachana na mume analikuwa na mpenzi mwingine?na yupo wapi na ukaribu ukoje Wa kimahusiano?kuuchunguza mwili sperm zilizokutwa kwenye mwili Alama zilizopo kwenye mwili damu n DNA tunaamini zitaonyesha hizo sperm taswira iliyo kwenye macho Mara ya mwisho.alikuwa amelala vipi hapo kwake wakati Wa umauti kumkuta.simu zake zitasaidia sana.hope zinawatsap na fb emails na pia mitandao ya simu itasaidia zaidi pia.previously information zote.alikuwa anaishi kinondoni before kigamboni alikuwa anaishi na kina nani vipi uhusiano wake na majirani.arusha kuanzia nyumbani kwao n majirani zao huko mererani.unaweza ukakuta watu hao sio waliomuua kaka yake MTU katake advantage ya kurelate vifo ili watu wajue ni kisasi no!Dada Wa kazi kwanini aliondoka?na why avamiwe baada ya kuondoka Dada.yupo wapi kwa sasa.kama haya yakifanikiwa basi .wauaji watapatikana.
 
umeongea mambo ya maana sana...
 
Back
Top Bottom