Anayepajua Lindi Wilaya ya Liwale Shule ya Sekondari Kiangara anijuze

asikudanganye MTU,tz hamna sehemu mbaya ya kuishi,kafanye kazi,tumia mshahara kufanya savings. ukifikisha 1,000,000 anza kilimo cha ufuta kinalipa sana liwale,pia unaweza anza business ya mbao kwa kununua rejareja toka kwa wapasuaji ukaziuza kwa wanaopeleka dar

ila itabidi upate usafiri(pikipiki) na nishati(solar)

unipm kati ya trh 1-2 nikutafutie mwrnyeji huko
 
Daaah wanaume tumeumbwa mateso!! Komaa japo si mahala pazur kuishi,,,services znasumbua sana ndugu yangu
 
asikudanganye MTU,tz hamna sehemu mbaya ya kuishi,kafanye kazi,tumia mshahara kufanya savings. ukifikisha 1,000,000 anza kilimo cha ufuta kinalipa sana liwale,pia unaweza anza business ya mbao kwa kununua rejareja toka kwa wapasuaji ukaziuza kwa wanaopeleka dar

ila itabidi upate usafiri(pikipiki) na nishati(solar)

unipm kati ya trh 1-2 nikutafutie mwrnyeji huko

Asante kwa ushauli wako,ntaufanyia shughuli
 
Maisha ni popote na kuchek fursa zilzopo kuzifanyia kazi.mi nimepangwa Bunda huko Mara...sipajui lakin sirud nyuma hata nikipangwa kijijin zaid ndo ntafrahi zaid
 
Mimi nimesomea huko chuo,kama vp nitafute nikuelekeze kwani maeneo mengi ni mazuri ucjari
 
asikudanganye MTU,tz hamna sehemu mbaya ya kuishi,kafanye kazi,tumia mshahara kufanya savings. ukifikisha 1,000,000 anza kilimo cha ufuta kinalipa sana liwale,pia unaweza anza business ya mbao kwa kununua rejareja toka kwa wapasuaji ukaziuza kwa wanaopeleka dar

ila itabidi upate usafiri(pikipiki) na nishati(solar)

unipm kati ya trh 1-2 nikutafutie mwrnyeji huko

Huyu ni mtu chanya

Ukiweza tu kubadili changamoto kuwa fursa,then you are done

Kula like mkuu
 
Mimi nimepangwa Mwanza wilaya ya kwimba nnaomba kujuzwa general enviroment cjwah kukanyaga kanda ya ziwa
 
Kiangara mi nina shamba la ufuta kule ...

challenges:

1. Hakuna umeme
2.Usafiri ni wa muda maalum sio muda wote utapata usafiri wa kwenda liwale
3.Maendeleo bado yako duni

Opportunities:
1. Ukiwa na solar hukosi ela ya kula coz watu wanapanga foleni kuchaji cm zao
2. Network ya cm ipo maeneo ya stendi pale kwenye kona ya kwenda kijiji cha kipelele
3.Ardhi nzuri yenye rutuba imejaa tele ni nguvu yako kuvamia poli na kulima ufuta/mahindi...wachaga kibao na makabila mengine wamejaa wanapga ela kwenye ufuta
4. Biashara ya mbao inalipa mtaji wako tu
5. ukiweza kununua boda boda itakupa pesa na urahisi wa kuishi kule coz kwenda liwale mjini ni dakika 40-45
6. Biashara ya kinana kama unaiweza ipo sana kule as liwale inapaka sana na selous
7. Ukiweza kufungua duka la mahitaji ya nyumbani na vyakula utapiga pesa pia.
8. Kipindi cha mavuno ya ufuta wife akipeleka kanga/vitenge /sendoz hela nje nje.
 
Ubarikiwe sana kiongozi!
 
liwale nshafika changamoto kubwa ni usafiri barabara ni hovyo sana, mtoto wa kiume kakomae changamoto kazifanye kuwa fursa kawekeze kwenye kilimo usije ukaenda ukaendkeza ubishoo kule si mahali pake, ukifika lete feedback.
 
Back
Top Bottom