Anayejua utendaji kazi wa Ndege za vita F16 atujuze

F-15 aka The Eagle ni 4th generation Fighter jet ya McDougal Douglas inayotumiwa na USAF tokaea mwaka 1970s. Baadhi ya nchi kama SA, JP, Korea etc pia walionunua na majeshi yao wanaitumia.

F-15 ni twin engine na ina double seat, na imekua successful sana kwenye dog fights, air to air na ata interceptions.

1000127912.jpg

Kwa USAF baada ya F-15, Lockheed Martin F22 The Raptor ndio ndege iliokua na umaarufu zaidi, na ilitegemea F22 kureplace F15.
 
Mimi sijui chochote juu ya ndege hizo,
Ila kitu ninachokijua ni,si lolote si chochote kwa S400.
S400,Huu ni mtambo wa Urusi unaoweza kushusha kitu chochote kilichotengenezwa na binadamu hapa chini ya jua kinachopita angani.
Hutaki unaacha.
Hahaha Israel walikua wanatest F-35 against SAM S400, kuona jinsi zilivo stealth, izo SAM zilikua zinadetect F35 ikiwa jirani mile 20-30 tu. You can imagine.

Pia izo S400 zinatoa missile zenye speed 2.9 Mach, sasa cheki morden fighters speed zake ngapi tuone.

Ila jibu fupi, chance ni almost zero kuikwepa S400 achilia mbali SAM zingine.

Kwenye movies wanatudanganya sana fliers ila ni zaman tu maana siku izi hawa tumii heat seeking missiles wanailock kabisa hailipuki adi ifikie target intended.
 
S-400 zipi tena zinazotisha. Hizi zilizopigwa na jeshi la Ukraine mara kadhaa?
Zimekuwepo vitani mwaka mzima ila bado Ukraine inarusha ndege na Urusi haina air dominance.

Pale Crimea zilikuwepo na HQ za Black Sea fleet zikapigwa maofisa wakaungua. Pale darajani zilikuwa na coverage pakapigwa. Urusi hadi Moscow drones zinaingia. Hizo S-400 zinasaidia nini hasa? Wiki hii zimeipiga Su-35 ya Warusi wenyewe nyingine, na hawatoacha tabia hii ya kufeli kwenye IFF.
Hii ni 5P85SM2-01 TEL
20230930_224738.jpg

Hii ni 92N2E 'Grave Stone' radar
20230930_224741.jpg

Na hii ni TEL vilevile. Mwaka jana hii
20230930_224844.jpg
 
S-400 zipi tena zinazotisha. Hizi zilizopogwa na jeshi la Ukraine mara kadhaa?
Zimekuwepo vitani mwaka mzima ila bado Ukraine inarusha ndege na Urusi haina air dominance.

Pale Crimea zilikuwepo na HQ za Black Sea fleet zikapigwa maofisa wakaungua. Pale darajani zilikuwa na coverage pakapigwa. Urusi hadi Moscow drones zinaingia. Hizo S-400 zinasaidia nini hasa? Wiki hii zimeipiga Su-35 ya Warusi wenyewe nyingine, na hawatoacha tabia hii ya kufeli kwenye IFF.
Hii ni 5P85SM2-01 TELView attachment 2767920

Hii ni 92N2E 'Grave Stone' radarView attachment 2767922

Na hii ni TEL vilevile. Mwaka jana hiiView attachment 2767923
Hii Vita imeharibu soko la silaha za Urusi kiasi fulani kidogo, ila bado zitaendelea kuuzwa nje ya Urusi sababu bei yake ni nafuu.
 
Hahaha Israel walikua wanatest F-35 against SAM S400, kuona jinsi zilivo stealth, izo SAM zilikua zinadetect F35 ikiwa jirani mile 20-30 tu. You can imagine.

Pia izo S400 zinatoa missile zenye speed 2.9 Mach, sasa cheki morden fighters speed zake ngapi tuone.

Ila jibu fupi, chance ni almost zero kuikwepa S400 achilia mbali SAM zingine.

Kwenye movies wanatudanganya sana fliers ila ni zaman tu maana siku izi hawa tumii heat seeking missiles wanailock kabisa hailipuki adi ifikie target intended.
Kuiona F-35 ndani ya maili 30 ni kosa kubwa mno, kama ni vitani hapo umekufa muda mrefu. F-35 haijatengenezwa isionekane kabisa bali ichelewe kuonekana mpaka iwe karibu. Hapo kwa maili 30 tiyari F-35 imerusha kwa ndege ya adui AMRAAM yenye kati ya 30 to 40 mile range (exact range ni siri).

Bado hata kuiona F-35 hujamaliza kazi. Kazi ngumu zaidi ni kufanya tracking. Air warning radar au engagement radar inaweza ona kuna intruder angani yuko Kigamboni, ili huyo intruder awe destroyed inabidi tracking radar immulike na ndio missile interceptor itumwe kwenda kushambulia. Sasa kwa F-35 au stealth zote zinavyofanya kazi zinaiwia vigumu tracking radar kuona, hii ni Physics ya Wave.
So unaona adui yuko around Kigamboni ila hujui Kigamboni Kimbiji au Feri. Sasa kombora unatuma wapi? Mpaka range ya ndege ya adui kufika uione exactly ni wapi ndio pale kwenye 30 miles na adui ashakuona muda mrefu sababu fighters zina radar warning receivers, kabla hujaiona inajua unaitafuta na uko wapi. Yale makombora ya HARM si mlisikia kazi yake pale Ukraine?
 
S-400 zipi tena zinazotisha. Hizi zilizopogwa na jeshi la Ukraine mara kadhaa?
Zimekuwepo vitani mwaka mzima ila bado Ukraine inarusha ndege na Urusi haina air dominance.

Pale Crimea zilikuwepo na HQ za Black Sea fleet zikapigwa maofisa wakaungua. Pale darajani zilikuwa na coverage pakapigwa. Urusi hadi Moscow drones zinaingia. Hizo S-400 zinasaidia nini hasa? Wiki hii zimeipiga Su-35 ya Warusi wenyewe nyingine, na hawatoacha tabia hii ya kufeli kwenye IFF.
Hii ni 5P85SM2-01 TELView attachment 2767920

Hii ni 92N2E 'Grave Stone' radarView attachment 2767922

Na hii ni TEL vilevile. Mwaka jana hiiView attachment 2767923
Nakubali sana.
 
Hahaha Israel walikua wanatest F-35 against SAM S400, kuona jinsi zilivo stealth, izo SAM zilikua zinadetect F35 ikiwa jirani mile 20-30 tu. You can imagine.

Pia izo S400 zinatoa missile zenye speed 2.9 Mach, sasa cheki morden fighters speed zake ngapi tuone.

Ila jibu fupi, chance ni almost zero kuikwepa S400 achilia mbali SAM zingine.

Kwenye movies wanatudanganya sana fliers ila ni zaman tu maana siku izi hawa tumii heat seeking missiles wanailock kabisa hailipuki adi ifikie target intended.
Ukraine ishazipiga hizo air defenses mara kibao mara ya Mwisho ikiwa juzi hapa kabla ya HQ ya BSF kupigwa na storm shadow Ukraine walifanya SEAD operation ambapo walituma drones na makombora ya Neptune kuharibu S-400. Baada ya operation kufanikiwa siku kadhaa HQ ikapigwa Kwa storm shadow.

Russia inasema S-400 inatungua ndege ikiwa zaidi ya 400km cha ajabu mpaka Leo air force yA Ukraine inafanya kazi hatuoni ndege zinazoshushwa na S-400 ya babu Putin.
 
Hello wajuzi wa mambo za kivita, msaada please,

Wenye ujuzi, kujua hizi ndege F 16 utendaji wake wa Kazi atafundishe somo please.
Ni nzuri Sana na ziko modern Sana kwa nchi ambazo hazina technlogia ya juu lakini kwa nchi zenye high tech Kama Russia hazifui dafu ndo maana USA anasita Sana kupeleka hizo ndege uko Ukraine, maana zikishadunguliwa soko lake duniani linakwisha kabisa Kama vifaru vya UK na German, Na Russia anasema wazilete tu zipambane na technologia ya Russia. Lakini kwenye nchi zingine ambazo hazina technlogia wanaziona Ni nzuri Sana.
 
HIMARS zimeacha kilio kikubwa, javelin imechoma msafara wa vifaru km 64, storm shadow taarifa zake zinajieleza, mifumo ya ulinzi wa anga imefanya vizuri sana mpaka sasa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Labda tukueleweshe!
Unapoona siraha mpya imeingia katika uwanja wa vita hasa hizi zinazopigiwa kelele na magharibi zitafanya vzr mwanzon tu ila ndani ya wiki 1 zinakuwa zimeshapatiwa dawa na wapinzani wao cos zinasomwa utendaji wake na weakenes zake! Baada ya hapo hamna kitu tena utasikia kama sasahivi ambapo husikii tena javelin wala Himars hizo nyimbo zilishapitwa na wakati mzee maana zingekuwa active zaidi ya za mrusi basi mngefanikisha kumtoa Mrusi katika ardhi ya Ukraine ila mmeshindwa mpaka sasa ukata unawakabiri!
 
Back
Top Bottom