Anayehitaji line ya tigo tigopesa na navodavodacom vodacomM-pesa

MTIRO

Senior Member
May 5, 2012
120
16
Habari wana Jf.
Kwa yeyote anayehitaji line ya tigo pesa na vodacom m-pesa anitafute, nipo dar na bei yake ni Tsh laki nane (800000) kwa line ya tigo na Tsh laki nne (400000) kwa line ya voda. Unaweza kunipm kwa anayehitaji plz
 
Mi ninayo ya tigopesa kwa anayehitaji laki 6 tu na mpesa laki 2 tu ni pm tufanye biashara
 
A cha utoto we mgonjwa ungekuwa na lengo la kuuza si ungeanzisha uzi wako aisee....acha mambo ya kizamani bhana, unaboa kichizi yan
 
Hahahahaaaa jamaa kadandia treni nayeye bila ya kujua linaelekea wapi...
 
Biashara matangazo ajitokeze mwingine anaeuza laki na nusu tuongee biashara
 
Anaehitaji line ya Airtel Money,tiGO-Pesa,M-Pesa na Eazy Pesa naziuza,na pia nitamsadia jinsi ya kubadilisha majina bure kabisa. Kwa Airtel Money nauza 150,000, tiGO-Pesa 180,000, M-Pesa 150,000 na Eazy Pesa 100,000.

Nitakupataje? nahitaji voda na airtel
 
Frank hii kitu kama ni serious fanya kuni-PM namba yako ya simu kaka. Fastaaaaa
Anaehitaji line ya Airtel Money,tiGO-Pesa,M-Pesa na Eazy Pesa naziuza,na pia nitamsadia jinsi ya kubadilisha majina bure kabisa. Kwa Airtel Money nauza 150,000, tiGO-Pesa 180,000, M-Pesa 150,000 na Eazy Pesa 100,000.

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
Habari wana Jf.
Kwa yeyote anayehitaji line ya tigo pesa na vodacom m-pesa anitafute, nipo dar na bei yake ni Tsh laki nane (800000) kwa line ya tigo na Tsh laki nne (400000) kwa line ya voda. Unaweza kunipm kwa anayehitaji plz

Hizo laini mbona unauza gharama hivyo au unataka na commission mpesa zinauzwa 150000-200000 . Tigo 500000. Punguza bei uuze.
 
Anaehitaji line ya Airtel Money,tiGO-Pesa,M-Pesa na Eazy Pesa naziuza,na pia nitamsadia jinsi ya kubadilisha majina bure kabisa. Kwa Airtel Money nauza 150,000, tiGO-Pesa 180,000, M-Pesa 150,000 na Eazy Pesa 100,000.

Kaka kama serious nipm nikutafute tufanye biashara faster km mshale
 
Mi nazihitaji zote kama kweli bei ni hiyo, tigo pesa ya 180,000, mpesa ya 150,000 na nyinginezo ila kama kweli uko serious ndo unitafute..nipigie 0776-880270.
 
Hizo laini mbona unauza gharama hivyo au unataka na commission mpesa zinauzwa 150000-200000 . Tigo 500000. Punguza bei uuze.
Sasa nimepunguza bei tigo pesa laki 6 Voda laki 2
 
Anaehitaji line ya Airtel Money,tiGO-Pesa,M-Pesa na Eazy Pesa naziuza,na pia nitamsadia jinsi ya kubadilisha majina bure kabisa. Kwa Airtel Money nauza 150,000, tiGO-Pesa 180,000, M-Pesa 150,000 na Eazy Pesa 100,000.

Nahitaji tigopesa,Airtel money,mpesa na ezypesa. Namba yangu +255652370498
 
Back
Top Bottom